Wednesday, May 15, 2024
Home Authors Posts by Saleh

Saleh

7841 POSTS 0 COMMENTS

NABI KUIKABILI COASTAL UNION, AKIRI KUTUMIA NGUVU KWA POLISI

0
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema walitumia nguvu nyingi kwenye msako wa pointi tatu mbele ya Polisi Tanzania hivyo wanajipanga kwa ajili ya...

NAMUNGO YASHINDA MBELE YA IHEFU, LUSAJO KAMA KAWA

0
MCHEZO pekee wa Ligi Kuu Bara ambao umechezwa leo Agosti 19,2022 Uwanja wa Uhuru dakika 90 ubao umeseoma Ihefu 0-1 Namungo FC. Huu unakuwa mchezo...

VIDEO:JONAS MKUDE,MANULA,JOB,LUSAJO NDANI YA TAIFA STARS

0
KIM Poulsen Kocha Mkuu wa timu ya Taifa amesema kuwa hakuna muda wa kucheza mechi za kirafiki za kimataifa kwa kuwa hawana muda wa...

SAUTI:ISHU YA MANZOKI KUIBUKA SIMBA MAPYA YAIBUKA

0
SUALA la Cesor Manzonki kuibuka ndani ya Simba mapya yameibuk baada ya uongozi wa Simba kubainisha kuwa hawana mpango wa kumsajili kutokana na mvutan...

YANGA YAINGIA MKATABA WA MIAKA MIWILI NA JACKSON GROUP

0
KLABU ya Yanga leo Agosti 19,2022 imeingia makualiano na Kampuni ya Masoko iitwayo Jackson Group. Kwa mujibu wa rais wa Yanga,  Hersi Ally Said amesema...

KILA MTU ANA NAFASI YA KUSHINDA JACKPOT MERIDIANBET, UNAFAHAMU JACKPOT NI...

0
Kwa mpenzi wa kubashiri mtandaoni, bila shaka hili ni jambo unalolitazama kwa jicho la tatu, Jackpoti zimekuwa ni kivutio cha wataalamu na wapenzi wengi...

MBINU YA SIMBA KUTWAA UBINGWA IPO HIVI

0
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa utapambana kuhakikisha unapata pointi nyingi mzunguko wa kwanza ili kuweza kufikia malengo ya kutwaa ubingwa. Kwa sasa mabingwa watetezi...

KOCHA NABI AKUBALI UWEZO WA NYOTA WAKE

0
KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ameweka wazi kuwa viwango vya wachezaji wake ambavyo wameonyesha kwenye mechi mbili amevutiwa navyo na anahitaji waweze kuongeza...

IHEFU KUIKABILI NAMUNGO LEO UWANJA WA UHURU

0
BAADA ya kupoteza mchezo wao wa kwanza dhidi ya Ruvu Shooting msimu wa 2022/23 kwa kufungwa bao 1-0, Agosti 19,2022 Ihefu ina kazi ya...

NAHODHA MANCHESTER UNITED MAGUIRE KUPIGWA BENCHI

0
INAELEZWA kuwa Kocha Mkuu wa Manchester United, Eric ten Hag anafikiria kumpiga benchi nahodha wa timu hiyo, Harry Maguire. Itakuwa ni kwenye mchezo wa Ligi...

VIDEO:SALEH JEMBE AFUNGUKIA ISHU YA MANZOKI KUJA SIMBA

0
MWANDISHI mkongwe kwenye ulimwengu wa michezo Saleh Jembe amebainisha kuwa aliongea na mshambuliaji wa Vipers SC Manzoki ambaye alimwambia anakuja ndani ya kikosi cha...

KOCHA NABI AMTABIRIA MAKUBWA MAKI

0
NASREDDINE Nabi,Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa Zoran Maki kocha wa Simba anapaswa apewe muda kuiunda timu ya ushindani kwa kuwa bado kila kitu...

NUNEZ AOMBA RADHI

0
DARWIN Nunez, mshambuliaji wa Liverpool ameomba radhi kwa kitendo chake cha kumpiga kichwa beki wa Crytal Palace, Joachim Andersea akisisitiza kuwa amejifunza kutokana na...

AZAM FC WAPINDUA MEZA MBELE YA KAGERA SUGAR

0
LICHA ya Kagera Sugar kuanza kufunga kupitia kwa Anuary Jabir dk ya 10 mbele ya Azam FC,walikwama kupata pointi tatu jumlajumla. Ilikuwa katika Uwanja wa...

SIMBA YASHINDA 3-0 GEITA GOLD

0
ZORAN Maki,Kocha Mkuu wa Simba amesema ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Geita Gold walistahili kwa kuwa wachezaji walicheza kwa kujituma. Mabao ya Simba kwenye...

KIKOSI CHA GEITA GOLD DHIDI YA SIMBA

0
 Kikosi cha Geita Gold dhidi ya Simba Sebusebu Wawa Mbegu Masai Yondani Nashon Okoyo Kagoma Mpole Lyanga Edmund Akiba Kayego Shamte Adeyem Bakari Chombo Seleman Chikola Massota Miraji

SIMBA QUEENS YAPATA USHINDI KIMATAIFA

0
SIMBA Queens leo imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Corporate FC kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa kwa Wanawake uliochezwa Uwanja wa...