Home Sports VIDEO:JONAS MKUDE,MANULA,JOB,LUSAJO NDANI YA TAIFA STARS

VIDEO:JONAS MKUDE,MANULA,JOB,LUSAJO NDANI YA TAIFA STARS

KIM Poulsen Kocha Mkuu wa timu ya Taifa amesema kuwa hakuna muda wa kucheza mechi za kirafiki za kimataifa kwa kuwa hawana muda wa kufanya hivyo kutokana na kuwa na siku 6 za maandalizi, miongoni mwa walioitwa ni Aishi Manula, Dickson Job,Pascal Mshindo.

Ni kwa ajili ya mchezo dhidi ya Uganda ambao ni wa kuwania tiketi ya kufuzu CHAN, Agosti 21 kikosi kitaingia kambini.

Previous articleSAUTI:ISHU YA MANZOKI KUIBUKA SIMBA MAPYA YAIBUKA
Next articleNAMUNGO YASHINDA MBELE YA IHEFU, LUSAJO KAMA KAWA