
YANGA KUITEKA MAZEMBE
MENEJA Walter Harrison ameweka wazi kuwa watawateka wapinzani wao TP Mazembe na kuchukua pointi tatu ugenini kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya makundi. Leo Yanga ikiwa inaongoza kundi D na pointi 10 baada ya kucheza mechi tano ina kete ya mwisho dhidi ya TP Mazembe mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mazembe. Ipo wazi…