
SIMBA YAIPA NGUVU NAMUNGO
KOCHA Mkuu wa Namungo, Dennis Kitambi amesema kuwa mchezo wao dhidi ya Simba umewapa nguvu ya kufanya vizuri kwenye mechi ambazo zimebakia. Namungo ilipokutana na Simba kwenye mchezo wa ligi ilitoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1 mchezo wake dhidi ya Azam FC ilishinda mabao 2-1. Kitambi amesema kuwa wachezaji baada ya kucheza mchezo dhidi ya Simba…