Home Sports JESHI LA YANGA DHIDI YA MARUMO AFRIKA KUSINI

JESHI LA YANGA DHIDI YA MARUMO AFRIKA KUSINI

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema mabadiliko katika kikosi cha kwanza dhidi ya Marumo Gallants ni muhimu kwa ajili ya kupata ushindi.

Ni Mudhathir Yahya na Kennedy Musonda wameingia kikosi cha kwanza na walikosekana katika kikosi cha kwanza kilichoanza Uwanja wa Mkapa.

Nabi Leo ameanza namna hii:-

Diarra Djigui
Dickson Job
Kibwana Shomari
Bacca

Bakari Mwamnyeto

Yannick Bangala
Tuisila Kisinda
Khalid Aucho
Fiston Mayele
Mudhathir Yahya
Kennedy Musonda

Mshindi wa jumla atatinga hatua ya fainali Kombe la Shirikisho Afrika.

Katika mchezo wa kwanza ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Yanga 2-0 Marumo ya Afrika Kusini

Previous articleKAPOMBE BADO HAJAPATA MBADALA WAKE SIMBA
Next articleGALLANTS MARUMO 0-1 YANGA KIMATAIFA