
YANGA WAJA NA KEY DEI KAMILI KUWAKABILI WASUDA
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kuelekea kwenye mchezo wao wa kimataifa dhidi ya Al Merrekh Uwanja wa Azam Complex wapo tayari na maandalizi yanaendelea. Siku hiyo ya Septemba 30 imepewa jina la Key Day ikiwa ni siku ya Aziz KI kiungo mshambuliaji wa Yanga. Huo ni mchezo ambao utaamua mshindi atakayetinga hatua ya makundi…