Home Entertainment DEREVA WA CHINO AFARIKI

DEREVA WA CHINO AFARIKI

DEREVA aliyekuwa akiendesha gari alilokuwa akisafiria msanii na dansa maarudu, Chino Kid aitwaye Nabeel, amefariki dunia akiwa anapatiwa matibabu, kutokana na majeraha aliyoyapata kwenye ajali hiyo.

Mmoja wa watu wa karibu wa Chino Kid, Prodyuza Abbah Process kupitia akaunti zake za mitandao ya kijamii, ameandika:

‘Rest in Peace Brother, tumepoteza mwanafamilia mmoja aliyekuwa kwenye ajali ya jana. May God embrace him in his loving arms and grant him eternal peace’.

Previous articleKWAPUA MPUNGA NA MECHI ZA ULAYA JUMAPILI YA LEO
Next articleYANGA YARIPOTIWA KUMSAJILI KIUNGO MKATA UMEME WA IVORY COAST