Sunday, April 28, 2024
Home Authors Posts by Saleh

Saleh

7717 POSTS 0 COMMENTS

MAPINDUZI YAFANYIKE MAPINDUZI YA KWELI

0
WAKATI mwingine kwa sasa kwenye Kombe la Mapinduzi 2023 ambapo kila timu shiriki inafanya kazi kubwa kwenye kusaka ushindi. Hakuna ambaye hapendi kupata matokeo mazuri...

SIMBA YATAJA SABABU YA KUTUNGULIWA NA MLANDEGE

0
GADIEL Michael, nahodha wa Simba kwenye kikosi kinachoshiriki Kombe la Mapinduzi ameweka wazi kuwa sababu zilizofanya wakapoteza mchezo wa kwanza ni kushindwa kutumia nafasi. Ikiwa...

PICHA MPYA ZA MUDATHIR YAHYA AKIWA NA UZI WA YANGA

0
PICHA mpya za nyota wa Yanga Mudhathir Yahya akiwa na uzi wa Yanga. Muda anaibuka ndani ya Yanga kwa dili la miaka miwili.

WIKI YA WAPENDA SOKA, ODDS NONO KWA MECHI ZOTE UNAZIPATA MERIDIABET

0
Hii ni wiki ya Copa del Rey, EPL, SERIE A, mechi kubwa Zaidi ni usiku wa Alhamis pale ambapo Chelsea na Mamchester City watakipiga....

VIDEO;KOCHA MPYA SIMBA HUYU HAPA NENO LAKE

0
KOCHA mpya Simba huyu hapa neno lake

MBRAZIL: NAIPELEKA SIMBA FAINALI CAF, KISA YANGA, FEI TOTO AIPIGIA MAGOTI...

0
MBRAZIL:Naipeleka Simba fainali CAF, kisa Yanga, Fei Toto aipigia magoti TFF, ndani ya Championi Jumatano

SIMBA YATUNGULIWA KOCHA MPYA AKISHUHUDIA

0
KOCHA Mkuu, Juma Mgunda akiwa amefanya mabadiliko makubwa kikosi cha kwanza kwa kumuazisha Beno Kakolanya langoni huku nahodha akiwa ni Gadiel Michael alionja joto...

AZAM FC YATOSHANA NGUVU KOMBE LA MAPINDUZI

0
BAO la mapema kipindi cha kwanza kwa Azam FC lililofungwa na Ayoub Lyanga halikutosha kuipa pointi tatu timu hiyo. Ni kwenye Kombe la Mapinduzi ambalo...

JEMBE LILILOWEKWA KWENYE RADA NA SIMBA LAIBUKIA YANGA

0
MUDHATHIR Yahaya kiungo wa zamani wa Azam FC ametambulishwa ndani ya Yanga leo Januari 3,2023 ikiwa ni usajili wa kwanza kwa Yanga dirisha dogo. Muda...

MBRAZIL APEWA MIKOBA YA ZORAN SIMBA

0
RASMI Klabu ya Simba imemtangaza kocha Robertinho Oliveira kuwa kocha wao mkuu kupitia mkutano mkuu wa waandishi wa Habari uliofanyika leo Januari 3,2023. Kocha huyo...

PENALTI YAZUA UTATA FUNGUA MWAKA

0
JANUARI Mosi 2023 ilishuhudiwa penalti ambayo iliwafanya wachezaji wa Namungo FC kuonekana wakimlalamikia mwamuzi kutokana na mazingira ya penalti hiyo kuleta utata. Langoni kwa Namungo...

BRENTFORD YAANDIKA REKODI KWA KUICHAPA LIVERPOOL

0
KLABU ya Brentford kwenye Ligi Kuu ya Uingereza inaandika rekodi yao baada ya kupata ushindi wa kwanza dhidi ya Liverpool tangu 1938 lwa ushindi...

SIMBA KAMILI MAPINDUZI CUP,KAZI INAANZA

0
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba, Juma Mgunda amesema maandalizi yapo sawa na wataonyesha ushindani. "Tupo tayari kwa ushindani na tunajua kwamba haitakuwa kazi rahisi...

MDAKA MISHALE AONGEZA DILI KUITUMIKA YANGA

0
WANANCHI wana uhakika wa kupata huduma ya Djigui Diarra ndani ya kikosi cha Yanga mpaka 2025. Chaguo namba moja la Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ameongeza...

AZAM FC WANALITAKA KOMBE LA SIMBA

0
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa unalitaka Kombe la Mapinduzi hivyo hawatafanya makosa kwenye mashindano hayo. Ni Simba ambao ni mabingwa watetezi wa taji...

SIMBA FULL MKOKO, RASMI YANGA YAMSHITAKI FEI TOTO

0
Simba full mkoko,rasmi Yanga wamshitaki Fei Toto ndani ya Spoti Xtra Jumanne

SAIDO AWAJIBU WALE WANAOMUITA MZEE

0
SAIDO awajibu wale wanaomuita mzee