Monday, May 13, 2024
Home Authors Posts by Saleh

Saleh

7836 POSTS 0 COMMENTS

CHAMA ATOA TAMKO SIMBA, BEKI MPYA YANGA ANATUA LEO

0
CHAMA atao tamko Simba, beki mpya Yanga SC anachomolewa kambini, kutua leo Dar ndani ya Championi Ijumaa

PUMZIKA KWA AMANI BANDA, UMAKINI UONGEZEKE KUOKOA NGUVU KAZI

0
PUMZIKA kwa amani Mohammed Banda, uangalizi zaidi kwa timu za vijana unahitajika kuokoa wengine. Ni pigo kwenye ulimwengu wa michezo Bongo lakini ni muhimu pia...

JEMBE JIPYA MTIBWA SUGAR LAANZA KAZI

0
INGIZO jipya ndani ya kikosi cha Mtibwa Sugar Vitalis Mayanga ataonekana ndani ya uwanja kwenye mechi za ushindani akitumia jezi namba 27. Alikuwa anakipiga ndani...

NABI AWACHAMBUA MAYELE, MUSONDA,MFUMO WABADILISHWA SIMBA

0
Nabi awachambua Mayele, Musonda, Mbrazil abadili mfumo Simba ndani ya Spoti Xtra Alhamisi

YANGA MIPANGO YAO IPO HIVI

0
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kikubwa ambacho amewaambia wachezaji wake ni kucheza kwa umakini kila mechi. Timu hiyo imekuwa kwenye mwendo bora...

RIPOTI KUAMUA HATMA YA TAMBWE, KAGERE, SINGIDA BIG STARS

0
UONGOZI wa Singida Big Stars umeweka wazi kuwa hatma ya nyota wao ambao hawajashiriki Kombe la Mapinduzi itajulikana hivi karibuni baada ya ripoti kukamilika Ofisa...

EXPANSE STUDIO NA MERIDIANBET KUZINDUA SLOTI MPYA

0
Wiki chache tu baada ya kuzindua michezo yao ya hivi karibuni- Wild White Whale na Zombie Apocalypse hatimaye sasa Expanse Studio inakuja Tanzania, kuonyesha...

KUPATWA KWA PIRA DUBAI UWANJA WA MKAPA

0
DAKIKA 90 zilikuwa za kazi huku pira Dubai likionekana kupatwa tabu mbele ya Mbeya City ambao walionesha ushindani wakitaka kusepa na pointi. Dakika tatu ziliwatosha...

MSHAHARA ANAOVUTA NYOTA MPYA SIMBA NI BALAA TUPU

0
MSHAHARA anaouvuta nyota mpya wa Simba Siwadogo ni balaa tupu, kaikamua Simba mkwanja mrefu

UJUZI WA MBRAZIL KUONEKANA LEO KWA MKAPA

0
MASHABIKI wa Simba leo Januari 18,2023 wanatarajia kuona ujuzi wa Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ambaye anashikirikiana na mzawa Juma Mgunda.. Mchezo wa leo ni dhidi...

VIDEO:AMBANGILE AUCHAMBUA USAJILI WA SIMBA/YANGA

0
AMBANGILE mchambuzi wa mpira Bongo ameuchambua mchezo wa Ligi Kuu Bara Yanga 1-0 Ihefu na usajli wa Bongo

YANGA WAANZA MAZOEZI NA KIPA WA MAKOCHA AMEREJEA

0
STAA mpya Yanga ameanza mazoezi na wachezaji wenzake kocha wa makipa naye amerejea

ISHU YA MORRISON MAAMUZI MAZITO, MASHINE MPYA SIMBA HADHARANI LEO

0
ISHU ya Morrison maamuzi mazito, mashine mpya Simba hadharani leo ndani ya Championi Jumatano

IHEFU YATAMBULISHA MAJEMBE MAWILI MAPYA KUTOKA MSIMBAZI

0
NYOTA Nelson Okwa ambaye ni mali ya Simba kaibuka ndani ya kikosi cha Ihefu chenye maskani yake Mbeya, nyanda za juu Kusini. Hakuwa na msimu...

VIDEO:SEMAJI LA CAF LAMBACHAMBUA NYOTA MPYA/CHAMA NA NTIBA

0
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano ndani ya Simba amewazungumzia wachezaji wapya wa timu hiyo pamoja na wale ambao wapo katika...

WIKI HII NI USHINDI TU MERIDIANBET KWA ODDS BOMBA, AC MILAN...

0
Ukiachana na burudani za soka ulaya, utamu mwingine utakuwa kwenye Milan Derby kati ya AC Milan dhidi ya Inter Milan ni mashindano ya Supercoppa...

JEMBE JIPYA YANGA LAANZA MAZOEZI

0
BAADA ya kukamilisha usajili wake ndani ya kikosi cha Yanga, hatimaye kipa namba mbili wa timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ameanza...