
KIMATAIFA YANGA NA SIMBA MAMBO MAGUMU/ WAAMUZI HESABU
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba na Yanga mambo ni magumu kwenye anga la kimataifa kutokana na kushindwa kufanya vizuri kwenye mechi zao tatu katika hatua ya makundi. Timu zote mbili zina pointi mbili baada ya kucheza mechi tatu ndani ya dakika 270 hivyo kuna kazi kubwa kwa wawakilishi hawa wote kufanya…