Shangwe Za Ubingwa Zageuka Majonzi! Al-Hilal Waokoa Sare Ya Drama Dakika Za Mwisho!
Mashabiki wa soka duniani wamebaki MIDOMO WAZI baada ya dabi kali ya Riyadh kati ya Al-Nassr FC na Al-Hilal SFC kumalizika kwa sare ya 1-1 kwenye uwanja wa Al-Awwal Park! Kila kitu kilionekana kwenda upande wa Cristiano Ronaldo baada ya Mohamed Simakan kufunga bao safi dakika ya 37 kupitia krosi ya Kingsley Coman. Mashabiki wa…