Simba Yatwaa Tuzo ya Klabu Bora ya Wanaume BMT 2025
Simba SC imetwaa tuzo ya Klabu Bora ya Wanaume wa Mwaka 2025 katika Tuzo za Baraza la Michezo la Taifa (BMT) zilizofanyika Mei 9, 2026 katika Ukumbi wa The Super Dome, Masaki, Dar es Salaam. Tuzo hiyo ilikabidhiwa na Gerson Msigwa na kupokewa na Zubeda Sakuru. Washindi wengine wakuu ni: Alphonce Simbu — Mwanamichezo Bora…