USM Alger Yabeba Ubingwa Kombe la Shirikisho kwa Mara ya Pili, Che Malone Aandika Historia
Klabu ya USM Alger imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup) kwa mara ya pili katika historia yao baada ya kuibuka na ushindi wa penalti 8-7 dhidi ya Zamalek SC kwenye mchezo wa fainali uliopigwa mjini Cairo. Mchezo huo ulimalizika kwa ushindi wa 1-0 kwa Zamalek ndani ya dakika 90 kupitia…