HABARI Rio Ferdinand Apongeza Viwango vya Kimataifa vya Uwanja wa Arusha
Nyota wa zamani wa mpira wa miguu wa timu ya Taifa ya Uingereza na Klabu ya Manchester United Rio Ferdinand amesema, Uwanja wa Arusha ambao utatumika katika Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2027 (AFCON 2027) umejengwa kwa kiwango bora kilichozingatia viwango vya kisasa duniani. Amesema hayo Mei 21, 2026 wakati alipotembelea uwanja…