Leo Ijumaa Mei 15, 2026 saa 22:00,Aston Villa wanakaribisha Liverpool kwenye Villa Park. Hili si mchezo wa kawaida ni pambano la wazi la kuwania nafasi ya nne inayokwenda Ulaya. Shinikizo liko kwa timu zote mbili, lakini kwa njia tofauti.
Liverpool wamezoea kukaa kwenye nafasi za juu kwa miaka mingi, wana wachezaji waliocheza fainali za Ligi ya Mabingwa. Villa kwa upande wao, wana kizazi kipya cha wachezaji ambao hawajawahi kuonja shinikizo la kuwania nafasi ya nne hadi dakika za mwisho za msimu. Je, wataweza kudhibiti presha?
Aston Villa wamefika fainali ya Europa League wataicheza Jumatano Mei 20, siku 5 tu baada ya mchezo huu. Hili ni tukio kubwa kwa klabu fainali ya kwanza ya Ulaya tangu 1982. Wachezaji wa Villa wameanza kufikiria hiyo fainali tayari.
Aston Villa Kimwili, wanaweza kuwa wachovu baada ya msimu mrefu. Kiakili, wanaweza kuwa hawajajikita kikamilifu kwenye mechi dhidi ya Liverpool.
Ingia kwenye kasi ya kujishindia pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Unai Emery anajua kuwa ushindi dhidi ya Liverpool hauna maana ikiwa watapoteza fainali baada ya siku tano. Hali hii inampa Liverpool faida kubwa.
Liverpool wana wachezaji kama Virgil van Dijk, Robertson Andrew na Konate Ibrahima wachezaji ambao wanarikodi ya kushinda Ligi Kuu na Ligi ya Mabingwa. Wanajua jinsi ya kudhibiti michezo yenye shinikizo kubwa. Villa wana Ollie Watkins, Boubacar Kamara na Emiliano Martínez kipa mwenye uzoefu mkubwa wa kucheza michezo mikubwa na anarekodi ya kutwaa kombe la dunia 2022 na timu ya Taifa ya Argentina. Jisajili