Aston Villa Kukiwasha Dhidi Liverpool, Mbinu na Fikra Kuamua Leo Usiku
Leo Ijumaa Mei 15, 2026 saa 22:00,Aston Villa wanakaribisha Liverpool kwenye Villa Park. Hili si mchezo wa kawaida ni pambano la wazi la kuwania nafasi ya nne inayokwenda Ulaya. Shinikizo liko kwa timu zote mbili, lakini kwa njia tofauti. Liverpool wamezoea kukaa kwenye nafasi za juu kwa miaka mingi, wana wachezaji waliocheza fainali za Ligi…