Rais Samia Amteua Drogba Kuwa Balozi wa Tanzania Kuelekea AFCON 2027
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na mshambuliaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Ivory Coast na klabu ya Chelsea FC, Didier Drogba, katika Ikulu ya Ikulu Chamwino leo Mei 5, 2026. Katika mazungumzo yao, Rais Samia amemuomba nyota huyo wa soka kuwa Balozi wa Tanzania…