USM Alger Yaichapa Zamalek Fainali ya Kwanza Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC)
Klabu ya USM Alger imepiga hatua muhimu kuelekea ubingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 1-0 dhidi ya Zamalek SC katika mchezo wa kwanza wa fainali uliopigwa nchini Algeria. Bao pekee la mchezo huo lilifungwa dakika ya 90+8 kupitia kwa Ahmed Khaldi na kuipa USM Alger ushindi muhimu…