Mahakama Yamsamehe Ben Marshall Licha ya Uharibifu Mkubwa Dukani
Aliyekuwa nyota wa zamani wa Leicester City na Wolverhampton Wanderers, Ben Marshall, ameepuka kifungo cha jela baada ya kuvamia duka la vitu vya kale na kuliharibu vibaya akiwa katika hali ya ulevi. Tukio hilo lilitokea Februari 4 mwaka huu mjini Newport, Shropshire, ambapo Marshall mwenye umri wa miaka 35 alivamia duka la antiques lijulikanalo kama…