KMC FC vs Yanga SC ni jasho la kazi ndani ya dakika 90 ambapo vikosi kazi vipo kamili kusaka pointi 3 ndani ya dakika 90.
KMC FC wapo nyumbani wakiwa nafasi ya mwisho kwenye msimamo, Yanga SC wapo ugenini ni vinara kwenye msimamo. Hapa ni vikosi vyao kazi namna hii:-
Wenyeji KMC FC wameanza na Ismail Mpank, Juma Shemvuni, Nickson Mosha, Kenny Ally, Samson Mwaituka, Redemtus Mussa, Erick Mwijage, Mudathir Nassoro, Kelvin Tondi, Daruesh Saliboko na Oscar Paulo.
Kikosi cha Yanga SC kimeanza na Djigui Diara langoni, Frank Assink, Bacca, Maxi Nzengeli, Depu, Boka, Allan Okello, Aziz Adambwile, Prince Dube, Yao na Duke Abuya.
***
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu. Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.
Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.