Simba SC vs JKT Tanzania wanaingia kikaangoni kamili kusaka pointi 3, Uwanja wa Meja Jeneral Isahmuyo.
Hiki hapa kikosi kazi cha Simba SC kipo namna hii: Djibrilla Kassali yupo langoni mabeki ni De Reuck, Shomari Kapombe, Ismael Traore na Nickson Kibabage. Viungo ni Neo Maema, Clatous Chama, Inno Loemba, Yusuph Kagoma, Libasse Gueye na Ellie Mpanzu.
Wachezaji wa akiba ni Vedastis Masinde, Ladack Chasambi, Morice Abraham, Duchu, Hussein Mbegu, Kante, Seleman Mwalimu, Semfuko Daud, Hussen Abel na Anthon Mligo.
JKT Tanzania langoni yupo Ramadhan Chalamanda wengine ni Salum Khamis, Karim Mfaume, Hassan Nassoro, Hassan Kapalata, Laurian Makame, Said Hamis, Pascal Mussa, Paul Peter na Najim Maguru.
Wachezaji wa akiba ni Anuary Kilemile, David Bryson, Edward Songo, Edson Katanga, Mohamed Bakari, Jafary Maneno, Omary Gonzo, Sospeter Bajana, Tepsi Evance na Abel Josiah.
***
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu. Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.
Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.