Mechi Kubwa Ulaya leo: PSG na Bayern Munich Katika Vita Kwenda Fainali UEFA
Mchezo wa mkondo wa pili wa nusu fainali ya UEFA Champions League kati ya Bayern Munich na Paris Saint-Germain unaweza kuangaliwa zaidi kupitia ubora binafsi wa wachezaji kuliko mifumo ya timu. Baada ya ushindi wa 5-4 kwa PSG kwenye mchezo wa kwanza, ni wazi kuwa nyota wa kila upande watakuwa na jukumu kubwa la kuamua…