Katika michezo ya kubahatisha, wengi huamini kwamba ukikosa mara moja basi ndio mwisho. Lakini Meridianbet wameleta mtazamo mpya unaobadilisha kabisa mchezo, kwamba hata kushindwa kunaweza kuwa mwanzo wa ushindi.
Kupitia kipengele cha Lucky Loser kwenye Win&Go, tiketi yako haimaliziki kuwa ya hasara hata kama namba zote 6 hazijatoka. Badala yake, inapata maisha mapya na kugeuzwa kuwa tiketi ya ushindi, huku dau lako likizidishwa mara 30.
Vilevile, Michezo mingi zaidi ya kubashiri inaendelea kupatikana ndani ya Meridianbet ikiwa na ODDS kubwa na machaguo mengi zaidi. Kushiriki ni vyepesi kupitia tovuti ya MERIDIANBET au kwa kupiga *149*10#.
Hii inamaanisha kila mchezo unaingia nao unakuwa na sura mbili, ushindi wa kawaida au ushindi wa kurudi tena kupitia Lucky Loser. Ni mfumo unaoongeza msisimko na kufanya kila mchezaji kubaki na nafasi hadi mwisho kabisa wa mchezo.
Kipengele hiki kinatumika kwa tiketi za pesa halisi ndani ya Win&Go pekee, hivyo kinawalenga wachezaji wanaopenda michezo ya haraka yenye matokeo ya papo kwa papo lakini yenye nafasi zaidi za kushinda kuliko kawaida.
Meridianbet wanaendelea kuonyesha kuwa burudani ya kubeti inaweza kuwa na ubunifu unaowapa wachezaji matumaini mapya. Ingia Win&Go leo, cheza kwa akili, na acha mfumo ukupe nafasi ya pili ya kushinda kupitia Lucky Loser.