
RAIS CAF AGUSIA BAO LA AZIZ KI LIGI YA MABINGWA AFRIKA
RAIS wa shirikisho la soka Afrika (CAF), Patrice Motsepe yupo Tanzania akiwa Visiwani Zanzibar kwenye fainali za African Schools Football ambapo akiwa huko amezungumza na Waandishi wa Habari masuala mengi kuhusu michezo. Kwenye mazungumzo yake rais huyo amegusia na bao ambalo alifunga kiungo mshambuliaji wa Yanga, Aziz KI kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika…