BEKI WA KAZI KAMILI SIMBA KIMATAIFA

HENOCK Inonga alipata maumivu ya mkono kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Singida Fountain Gate, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga dakikaya 89. Nyota huyo hakuwa kwenye mchezo wa fainali dhidi ya watani zao wa jadi Yanga. Inonga alikuwa shuhuda wa fainali hiyo iliyochezwa Agosti 13 Simba ikiwashinda watani zao wa jadi Yanga kwa penalti….

Read More

DUBE MGUU KWA MGUU NA JEAN BALEKE

PRINCE Dube, nyota wa Azam FC anakula sahani moja na Jean Baleke wa Simba kwenye suala la utupiaji ndani ya Ligi Kuu Bara. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2022/23 tuzo ya ufungaji bora ilikwenda kwa Saido Ntibanzokiza wa Simba na Fiston Mayele wa Yanga. Mastaa wote wawili wana rekodi ya kufungua akaunti za kutupia mabao katika…

Read More

SIMBA INASUKWA UPYA KITAIFA NA KIMATAIFA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa muda uliopo kwa sasa ni benchi la ufundi chini ya Kocha Mkuu, Roberto Oliveira kusuka silaha za maangamizi kwenye mashindano ya kimataifa. Timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira ina pointi sita kibindoni baada ya kucheza mechi mbili huku safu yake ya ushambuliaji ikiwa imetupia mabao sita na…

Read More

MAXI NI NGOMA NZITO YANGA

NYOTA Maxi Nzengeli ndani ya kikosi cha Yanga ni ngoma nzito kutokana na uwezo wake wa kufunga na kutengeneza nafasi kwenye mechi za kitaifa na kimataifa. Nzengeli anayevaa uzi namba 7 mgongoni huku mtindo wake unaomtambulisha ukiwa ni ule wa kuchomekaa jezi rekodi zinaonyesha kuwa bao lake la kwanza akiwa na uzi wa Yanga alipachika…

Read More

MASHINDANO YA AFL KUFANYIKA OKTOBA, UZINDUZI WA KIHISTORIA

MASHINDANO ya klabu bora barani Afrika, African Footal League , (AFL) yanayotarajiwa kufanyika Oktoba 2023, uzinduzi wake wake unatarajiwa kufanyika Dar, Tanzania. Ni mechi ya kwanza inatarajiwa kuchezwa Dar Oktoba 20,2023 ikiwa ni fursa kwa wachezaji bora Afrika kuonyesha uwezo wao kwenye ulimwengu wa michezo duniani. Mashindano hayo yanatarajiwa kuanzia katika hatia ya robo fainali…

Read More

SUALA LA MIKATABA LINAHITAJI UMAKINI

WACHEZAJI wengi kwenye timu mbalimbali Bongo wamekutana na Thank You kutokana na kile ambacho viongozi wameaona ilipaswa kufanyika hivyo. Sio Simba, Yanga, Azam FC, Singida Fountain Gate mpaka Geita Gold kuna wachezaji ambao walikutana na mkono wa asante. Pia kuna timu ambazo zilikutana na adhabu kutokana na kushindwa kuwalipa wachezaji ama makocha baada ya kuachana…

Read More

INGIZO JIPYA SIMBA LAANZA MATIZI

WINGA wa Simba Aubin Kramo ameanza mazoezi katika viwanja vya MO Simba Arena. Raia huyo wa Ivory Coast aliyeibuka ndani ya Simba akitokea ASEC Mimosas hakuwa fiti Jambo lililomuweka nje ya uwanja. Kramo aliumia kwenye mazoezi ya kujiandaa na mechi za Ngao ya Jamii kule Tanga, Uwanja wa Mkwakwani. Simba ilicheza mechi mbili dhidi ya…

Read More

ORODHA YA WACHEZAJI WA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA HII HAPA

KIKOSI cha Timu ya Taifa ya Tanzania, (Taifa Stars) kitaweka kambi jijini Tunisi, Tunisia kwa ajili ya kujiandaa kwa mchezo wa marudiano wa Kufuzu AFCON 2023 dhidi ya Algeria. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Septemba 7, 2023.  Timu hiyo ipo chini ya Kocha Mkuu Adel Amrouche ambyae ametaja orodha hii:- Beno Kakolanya (Singida BS) Metacha Mnata…

Read More

MKALI WA MABAO SIMBA AFUNGUKIA ISHU YAKE NA KOCHA

MSHAMBULIAJI wa Simba, Moses Phiri amevunja ukimya kwa kusema hana tatizo lolote na Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mbrazil, Robert Oliveira ‘Robertinho’ kutokana na kukosa nafasi ya kucheza muda mrefu. Msimu wa 2022/23 Phiri alitupia kibindoni mabao 10 na alikuwa shuhuda mfungaji bora akitokea Yanga na mwingine Simba. Ni Fiston Mayele wa Yanga na Saido…

Read More

SIMBA YAREJEA KAMBINI KUIVUTIA KASI POWER DYNAMO

BAADA ya kukamilisha mechi mbili za Ligi Kuu Bara na kukomba pointi sita jumlajuma, tayari wachezaji wa Simba pamoja na benchi la ufundi wamerejea kambini. Ikumbukwe kwamba mabingwa watetezi wa ligi ni Yanga chini ya kocha Miguel Gamondi. Yanga imeanza kwa kasi msimu wa 2023/24 sawa na Simba ambao ni watani zao wa jadi wote…

Read More

ISHU YA PENALTI YAMVURUGA GAMONDI

ZAWAD Mauya, kiungo mzawa mkabaji ndani ya kikosi cha Yanga amekutana na kisanga kutoka kwa Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi baada ya kuwa chanzo cha penalti katika mchezo huo. Ikumbukwe kwamba Yanga katika mechi tano mfululizo ilizocheza ilikuwa haijaruhusu bao la kufungwa rekodi hiyo ilitibuliwa na ASAS FC kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa…

Read More