SIMBA KUSEPA BONGO MAPEMA KUWAWAHI WAZAMBIA

KUELEKEA kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Power Dynamo ya Zambia uongozi wa Simba umeweka wazi kuwa utaondoka mapema kuwawahi wapinzani wao. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Septemba 16 ikiwa ni wa hatua ya pili Ligi ya Mabingwa Afrika. Timu ya Simba inapeperusha bendera kwenye anga la kimataifa sawa na Yanga katika Ligi…

Read More

YANGA WACHOREWA RAMANI YA USHINDI MBELE YA WAARABU

KIUNGO wa kimataifa wa Rwanda ambaye amewahi kukipiga ndani ya timu za Simba na Yanga, Haruna Niyonzima, amesema mbali na mapokezi makubwa ambayo kikosi cha Yanga itayapata itakapotua nchini Rwanda. Nyota huyo mwenye uwezo mkubwa kucheza eneo la kati pia anaamini timu  ya Yanga ina uwezo mkubwa wa kuifunga Al Merrikh. Septemba 16, mwaka huu,…

Read More

ROBERTINHO AKOLEZA DOZI SIMBA

ROBERTO Oliveira ‘Robertinho’ Kocha Mkuu wa Simba, ameweka wazi kuwa, kinachotakiwa kufanyika kwa sasa ni wachezaji wote kuongeza kasi na umakini wawapo ndani ya eneo la 18. Timu hiyo ipo katika maandalizi ya mechi za kitaifa na kimataifa kwa msimu wa 2023/24, pia inapambana kutwaa taji la Ligi Kuu Bara. Mazoezi ya Simba yanafanyika Simba…

Read More

GAMONDI: NAWEKA REKODI MPYA YANGA

KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi, amefichua kuwa, anafahamu timu hiyo ina rekodi mbaya kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kushindwa kucheza hatua ya makundi kwa zaidi ya miaka 20 sasa, hivyo amejiandaa kuandika rekodi mpya. Yanga Septemba 16, mwaka huu, wanatarajiwa kushuka ugenini nchini Rwanda kuvaana na Al Merreikh ya Sudan katika…

Read More

COASTAL UNION INAJITAFUTA KIMATAIFA

UONGOZI wa Coastal Union umesema  utahakikisha kuwa unafanya vizuri kwenye ligi kuu msimu huu ili kupata nafasi ya kushiriki michuano ya kimataifa msimu ujao. Mpaka  sasa kwenye ligi Coastal Union ipo nafasi ya 10 ina pointi moja baada ya kucheza michezo miwili baada ya kupoteza  mchezo mmoja na kutoa sare mchezo mmoja. Timu hiyo iliwahi…

Read More

KASI YA LIGI ISIPOE, KAZI JUU YA KAZI

LIGI Kuu Bara ambayo ilianza kwa kasi kutokana na maandalizi ambayo yalifanywa na timu zote. Ni burudani iliyokuwa imekosekana kwa muda na sasa ni msimu mpya. Ipo wazi kuwa kabla ya ligi kusimama mashabiki walipata ile ladha ya mpira waliyoikosa kwa muda. Hakika pongezi kwa wachezaji namna walivyoanza kwa kujituma kusaka ushindi. Muda uliopo kwa…

Read More

STARS KAZINI LEO, SARE TU AFCON HII HAPA

TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa kuwania kufuzu AFCON dhidi ya Algeria. Katika mchezo huu wa leo kuwania kufuzu michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrka, (AFCON 2023). Stars inahitaji sare ikiwa kundi G inashika nafasi ya pili baada ya kucheza mechi tano na kukusanya pointi…

Read More

NBC YAZINDUA NEMBO MPYA YA CHAMPIONSHIP

NI Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Septemba 7 imezindua rasmi chapa mpya ya Ligi ya Daraja la Kwanza (championship). Ligi hiyo kwa sasa inafahamika kwa jina la NBC Championship hatua ambayo imekwenda sambamba na uzinduzi wa mashindano hayo ya soka yanayotarajiwa kuanza Septemba 9. Ujio wa…

Read More

YANGA KAZI BADO INAENDELEA

UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa kazi bado inaendelea kwenye mechi za kitaifa na kimataifa lengo ikiwa ni kupata matokeo chanya. Chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi Yanga inaongoza ligi ikiwa na pointi sita na safu ya ushambuliaji imetupia mabao 10. Licha ya kuwapa mazoezi kwenye kambi ya AVIC pia Gamondi aliwapeleka vijana wake ufukweni kuendelea…

Read More

WAKATI WA MAPUMZIKO KAZI IENDELEE

WAKATI wa mapumziko wachezaji wengi wamekuwa wakiendelea na maisha ya kawaida nje yay ale waliyokuwa wakiishi walipokuwa kambini ama wakati wa maandalizi ya mechi za kitaifa na kimataifa. Singida Fountain Gate hawa wapo kwenye Kombe la Shirikisho Afrika huku Yanga na Simba wakiwa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika. Kazi yao inapaswa kuwa kubwa kupeperusha bendera…

Read More

HUYO KRAMO ANA BALAA KWELI HUKO

AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa nyota wao Aubin Kramo ana balaa akiwa kwenye uwanja wa mazoezi jambo linaloongeza nguvu kwenye kikosi hicho. Nyota huyo aliyeibuka Simba akitokea ASEC Mimosas hajaonyesha makeke yake uwanjani kutokana na kusumbuliwa na majeraha alipopata maumivu wakati wa maandalizi ya Ngao ya Jamii, Mkwakwani,…

Read More

HIKI HAPA KINACHOMBEBA JEZI NAMBA SABA WA YANGA

NYOTA wa Yanga, Maxi Nzengeli amesema kuwa kinachombeba ndani ya kikosi hicho kuwa kwenye ubora ni ushirikiano ambao anapata kutoka kwa wachezaji pamoja na benchi la ufundi. Ndani ya kikosi cha Yanga yeye anavaa jezi namba saba mgongoni akiwa na uwezo wa kupanda na kushuka kwenye kutimiza majukumu yake. Nzengeli amepenya kikosi cha kwanza chini…

Read More