
VIDEO:YANGA HAWANA HOFU KIMATAIFA,KAZI INAENDELEA
YANGA hawana hofu kimataifa kazi inaendelea baada ya kutinga hatua ya robo fainali Kombe la Shirikisho Afrika
YANGA hawana hofu kimataifa kazi inaendelea baada ya kutinga hatua ya robo fainali Kombe la Shirikisho Afrika
MSIMU huu pia haujawa mzuri kwa Azam FC ambayo kila wakati huwa inaanza kwa kuleta ushindani mkubwa. Mateso makubwa ambayo huwa wanapitia kwenye mechi za ugenini bado hawajapata majibu yake hivyo wana kazi ya kuboresha zaidi ili wakati ujao kuwa imara. Miongoni mwa sababu ambazo zimekuwa zikiwapa ugumu Azam FC ni pamoja na kushindwa kutumia…
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amefichua siri ya kupata ushindi mchezo wa kimataifa dhidi ya US Monastir, Uwanja wa Mkapa
Mwarabu kafa Nani anafuata? Huyu hapa mpinzani wa Simba ndani ya Championi Jumatatu
YANGA imetinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho kwa ushindi wa mabao 2-0 US Monastir ya Tunisia. Hiki ni kisasi ambacho wamekilipa Yanga chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi kwa kuwa mchezo waliokutana nao ugenini nao walitunguliwa mabao 0-2. Ngoma ilikuwa ni mwendo wa mojamoja kila kipindi ambapo Kenned Musonda alianza kupachika bao…
MWENDO wa Ruvu Shooting kwa msimu wa 2022/23 hakika ni wa kinyonga kutokana na kushindwa kuwa kwenye ule ubora wao wa kupapasa. Kwenye msimamo ipo nafasi ya 15 imekusanya pointi 20 baada ya kucheza mechi 25. Ukuta wao umeruhusu kutunguliwa mabao 30 huku ile safu yao ya ushambuliaji ikitupia mabao 16. Timu hiyo imepoteza jumla…
UBAO wa Uwanja wa Mkapa unasoma Yanga 1-0 US Monastri ikiwa ni mchezo wa hatua ya makundi Kombe la Shirikisho. Yanga wanapambana kusepa na pointi tatu muhimu kujihakikishia nafasi ya kutinga hatua ya robo fainali. Bao la kuongoza limefungwa na Kenned Musonda kipinda cha kwanza dakika ya 33. Musonda ametimiza majukumu yake akitumia pasi ya…
ARSENAL haina utani baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Crystal Palace kwenye mchezo wa Ligi Kuu England. Ni Gabrie Martinell dakika ya 28,Bukayo Saka alitupia kambani mawili dakika ya 43 na 74 na ile kamba ya nne ni mali ya Graniti Xhaka ilikuwa dakika ya 55. Bao pekee la wapinzani wao…
LEO ndiyo leo asemaye kesho huyo ni muongo hatimaye ile siku imewadia na kazikazi kwa wakubwa inatarajiwa kufanyika Uwanja wa Mkapa. Ni wenyeji Yanga chini ya kocha Nasreddine Nabi raia wa Tunisia kwenye msako wa pointi tatu dhidi ya US Monastir vinara wa kundi D wakiwa na pointi 10 wote wamecheza mechi nne. Hapa tunakuletea…
MATUMAINI ya Azam FC kutwaa ubingwa kwa msimu wa 2022/23 yamezimwa mazima na Ihefu baada ya Machi 13,2023 kuwatungua bao 1-0 Uwanja wa Highland Estate, Mbeya. Bao pekee la ushindi kwa Ihefu lilifungwa na Rafael Loth dakika ya 38 na kuwapoteza Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, Kali Ongala. Kuyeyusha pointi tatu ugenini kunaifanya Azam…
Kila siku Meridianbet wanatoa pesa kibao kupitia michezo yake ya Kasino ya mtandaoni ambayo kwa dau dogo tu unaweza kutimiza ndoto zako ambazo umekuwa ukizifikiria kwa muda sasa. Unajua ni shlingi ngapi hutolewa na Meridianbet kupitia Promosheni ya Expanse Kasino? Ingia na ucheze kwani TZS 800,000 ni yako sasa. Meridianbet wakali wa Kasino ya mtandaoni…
SIMBA inayonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira inatinga hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika huku ikionyesha kwa mara ya kwanza pira Dubai Uwanja wa Mkapa. Ni ushindi wa mabao 7-0 Horoya uliopatikana baada ya dakika 90 mbele ya mashabiki waliojitokeza kwa wingi kushuhudia burudani hizo. Mabao ya Clatous Chama ambaye katupia hat…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa Waarabu watwaambia waliwafungaje kwenye mchezo uliopita kutokana na mipango kazi inayoendelea ndani ya timu hiyo. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi inashiriki Kombe la Shirikisho Afrika ipo hatua ya makundi inasaka pointi tatu ili kufikisha malengo ya kutinga hatua ya robo fainali ina pointi 7 kwenye kundi D…
SIMBA hakuna muda wa kuremba ni kazikazi Ligi ya Mabingwa Afrika
TUNASEMAJE mmekuja mudà mbaya, Kwa walichopanga Monastir,Yanga washindwe wao ndani ya Championi Jumamosi
WABABE kutoka Mbeya, Ihefu wakiwa Uwanja wa Highland Estate wanabalaa dhidi ya vigogo ambao walikutana nao katika uwanja huo. Yanga bado wanakumbuka namna walivyotunguliwa kwenye ligi kwa msimu wa 2022/23 walipotua ndani ya uwanja huo. Ubao wa Uwanja wa Highland Estate ulisoma Ihefu 2-1 Yanga na kutibua ie rekodi ya kutaka kufikisha mechi 50 bila…
EPL kuendelea Wikendi hii kwenye viwanja mbalimbali ambapo Everton watakuwa ugenini dhidi ya Chelsea ya Potter ambayo imekuwa na misukosuko mingi baada ya kuwa na matokeo mabaya kwenye ligi. Sehemu ya kupata odds kubwa ni Meridianbet pekee. Lakini pia Epl hiyo haitaishia kwa wababe hao tuu bali kuna Brentford ambaye atazichapa dhidi ya Leicester City…