
KOCHA SIMBA AMEKIRI MAMBO NI MAGUMU, MABORESHO YANAKUJA
IKIWA ni mchezo wake wa kwanza kukiongoza kikosi cha Simba, Desemba 2 na ubao kusoma Jwaneng Galaxy 0-0 Simba. Kocha Benchikha ameweka wazi kuna mapungufu ambayo yapo na mambo mengi yanapaswa kufanyiwa kazi kwa ajili ya kupata matokeo kwenye mechi zinazofuata. Timu hiyo mchezo wake unaofuata ni dhidi ya Wydad Casablanca ya Morocco, Desemba 9