AFCON 2027 KUANDALIWANA NCHI TATU, KENYA, UGANDA NA TANZANIA

RASMI mataifa matatu yataandaa mashindano makubwa Afrika ambayo ni Africa Cup. Mapema Septemba 27, Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Damas Ndumbaro aliongozana na ujumbe wa pamoja wa Tanzania, Uganda na Kenya ambapo walikuwa kwenye kikao cha kuwasilisha wasilisho la kuomba kuwa mwenyeji wa AFCON 2027. Kikao hicho cha CAF ExCO kilifanyika katika hotel ya…

Read More

NTIBANZOKIZA NA LUIS NDANI YA SIMBA KUNA NAMNA

VIUNGO wawili wa Simba, Luis Miquissone na Saido Ntibanzokiza chini ya Kocha Mkuu, Roberto Oliveira kuna namna wanazidi kuiva chungu kimoja kutokana na muunganiko wao kuanza kujibu. Nyota hao kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Power Dynamo uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Agosti 6 mwendo wa mpira wa kona iliyopigwa na Luis dakika ya 74 ileleta…

Read More

LIVERPOOL BADO WANAJITAFUTA HUKO

LIVERPOOL wamekuwa wakijitafuta kwa muda na sasa wanaonekana kurejea kwenye makali yao hiyo ni baada ya wikiendi iliyopita kutoka nyuma na kushinda mabao 3-1 dhidi ya Wolves 3-1 ugenini huko Molineux. Msimu uliopita ilikuwa mara ya kwanza kwa Liverpool kushindwa kufuzu kwa Ligi ya Mabingwa Ulaya ambapo Kocha Mkuu Jurgen Klopp amekuwa kwenye usukani kwa…

Read More

ZANA ZA KAZI ZAANDALIWA YANGA NA GAMONDI

KUELEKEA mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga dhidi ya Al Merrikh, Waarabu hao wa Sudan watakutana na balaa jipya linalosukwa na Miguel Gamondi ambaye ni Kocha Mkuu wa Yanga. Gamondi anaandaa zana za kazi kuelekea mchezo huo muhimu kwa Yanga kupata ushindi kukata tiketi ya kutinga hatua ya makundi Afrika….

Read More

TUSIJUMUISHE USHABIKI KWENYE MASUALA YA KUUMIZWA KWA INONGA

WAKATI mwingine si vibaya kusema mashabiki wa mpira na hasa Tanzania wamekuwa na mambo mengi sana yanayopaswa kulaaniwa. Binafsi nayaona ni masuala ambayo yanaonyesha ushabiki kupindukia wakati mwingine unakuwa ni tatizo kubwa sana. Ushabiki wa aina hiyo umewafanya mashabiki wengi washindwe kujitambua na ndio maana umeona baadhi ya mashabiki au wahamasishaji wanaotangaza zaidi chuki wamekuwa…

Read More

CHAMA GARI LIMEWAKA HUKO

MWAMBA wa Lusak, Clatous Chama gari limeweka kutokana na kasi yake ya kufunga na kutengeneza mabao kuanza kurejea kwa namna yake. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2022/23 Chama alikuwa ni namba moja kwa viungo waliotoa pasi nyingi ndani ya ligi ambazo ni 14. Msimu wa 2023/24 pasi yake ya kwanza aliitoa kwenye mchezo wa ligi dhidi…

Read More

AZAM FC WANA JAMBO LAO

YUSUPH Dabo, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa wachezaji wake wote ni muhimu kuendelea kupambana kwenye mechi zote ili kuwapa burudani mashabiki na kupata matokeo chanya. Timu hiyo mchezo wake uliopita ilikomba pointi tatu mazima dhidi ya Singida Fountain Gate kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Dabo ameweka wazi kuwa bado wachezaji wanaonyesha…

Read More