
YANGA NA SIMBA KILA UPANDE UMETOA TAARIFA LAKINI BADO
MECHI ya kwanza ya Ligi Kuu Bara kwa mabingwa watetezi Yanga wakilitetea kombe lao kwa mara ya tatu mfululizo, imekuwa gumzo kubwa. Hadi timu zaidi ya saba zikicheza mechi mbili za ligi kwa msimu wa 2023/24, Yanga walikuwa hawajacheza mechi hata moja kutokana na majukumu ya kimataifa. Baada ya hapo, Yanga waliingia mtamboni kuanza kazi…