
RUVU SHOOTING:TUNACHUKUA POINTI KWENYE UGUMU
MASAU Bwire, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting amesema kuwa mwendo wa mpapaso utaendelea kwenye mechi zilizobaki licha ya kuwa zitakuwa ngumu hawana mashaka. Timu hiyo haijawa kwenye mwendo mzuri Februari 17 ilishuhudia ubao wa Uwanja wa Nyankumbu ukisoma Geita Gold 3-2 Ruvu Shooting na Februari 24 ilishuhudia ubao wa Uwanja wa Jamhuri, Moro ukisoma Ruvu…