>

VITA YA MABINGWA NA WAJELAJELA

INGEKUWA ni mchezo wa Ligi Kuu Bara tungesema ni tatu zinasakwa ndani ya tatu kwa wababe wawili ambao watavuja jasho ndani ya dakika 90. Bahati nzuri ni hatua ya 16 bora Kombe la Azam Sports Federation ambapo yule atakayetunguliwa inakuwa ni kwaheri ya kuonana wakati ujao. Ni vita ya mabingwa watetezi Yanga chini ya Kocha…

Read More

VIGONGO VYA AZAM FC MACHI NI HIVI HAPA

MATAJIRI wa Dar Azam FC ndani ya Machi wana vigongo vikali vya moto viwili pekee ambavyo ni dakika 180. Timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Kali Ongala kete yake moja ni Kombe la Azam Sports na nyingine moja ni ya ligi. Itakuwa nyumbani Machi 5, Jumapili kusaka ushindi dhidi ya Mapinduzi ikiwa ni hatua ya…

Read More

UMAKINI UNAHITAJIKA KUFIKIA MALENGO

TUPO kwenye ulimwengu wenye ushindani mkubwa kwenye kila idara kuanzia Ligi Kuu Bara mpaka Kombe la Shirikishola Azam Sports hapa kila timu inahitaji ushindi. Ipo wazi kwamba mashindano yamekuwa yanazidi kuwa imara kila wakati na timu shiriki zinafanya kweli kwenye kusaka ushindi hili linahitaji pongezi. Wachezaji kwa sasa ni muda wao kuonyesha ule uwezo kwenye…

Read More

YANGA NGOMA MPAKA ROBO FAINALI CAF

UONGOZI wa Yanga umewaambia mashabiki kuwa wasiwe na presha ngoma itapigwa mpaka hatua ya robo fainali kwenye Kombe la Shirikisho Afrika. Yanga ipo nafasi ya pili kwenye hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika ikiwa imekusanya pointi nne kibindoni baada ya kucheza mechi tatu. Kwenye mchezo dhidi Real Bamako uliochezwa Uwanja wa US du 26…

Read More

EL CLASICO NI CLASSIC

LEO Alhamisi kwenye Uwanja wa Santiago Bernabeu wenye uwezo wa kuingiza mashabiki 81,044 kutakuwa na mechi kali ya wapinzani wa jadi nchini Hispania, kati ya Real Madrid na Barcelona, maarufu kama El Clasico. Ndiyo, El Clasico maana yake ni ‘The Classic’, ikimaanisha mechi kati ya Madrid na Barcelona ni bora. Hii ni mechi ya watani…

Read More

MASHABIKI MNASTAHILI PONGEZI,WACHEZAJI KAZI IPO

MUHIMU sana kuwapa pongezi mashabiki kwa namna wanavyojitokeza kwenye mechi za kimatafa ambazo wawakilishi wa Tanzania wanatupa kete pale Uwanja wa Mkapa. Huzuni na furaha huwa zinaishi kwenye mioyo yao hivyo wanastahili pongezi kutokana na kujitoa kwao kila wakati hakika ni moyo mzuri na unapaswa kuendelea. Tuliona wakati Yanga wakishinda dhidi ya TP Mazembe wengi…

Read More

MITAMBO YA KAZI SINGIDA BIG STARS KAMILI GADO

HALI ya nyota wa Singida Big Stars, Bruno Gomez inazidi kurejea taratibu kwenye ubora wake baada ya kupata maumivu hivi karibuni. Nyota huyo ambaye ni mtaalamu wa mapigo huru akiwa amewapa tabu makipa waliopo ndani ya tatu bora ikiwa ni Azam FC na Simba alipata maumivu ya miguu kwenye mazoezi. Mbali na Bruno raia wa…

Read More

MASHINE MPYA YA KAZI YATUA YANGA

WAWAKILISHI kwenye anga za kimataifa katika Kombe la Shirikisho Yanga Machi Mosi wamemtambulisha Khalil Ben Yousef raia wa Tunisia ambaye ni mtaalamu wa kusoma mipango ya timu pinzani na mifumo yao pamoja na viwango vya wachezaji wa Yanga. Mtaalam huyo amewahi kufanya kazi katika timu kubwa kama Esparence de Tunis na Timu ya Taifa Tunisia…

Read More

KIMATAIFA YANGA KUJA NA DOZI YAKIPEKEE

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa ushindi ambao waliupata dhidi ya TP Mazembe Uwanja wa Mkapaule ulikuwa ni kionjo. Kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya makundi Yanga ilishinda mabao 3-1 huku watupiaji wakiwa ni Kennedy Musonda, Mudhathir Yahya na Tuisila Kisinda. Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe amesema kuwa propaganda ambazo zinasemwa kuhusu…

Read More