
SIMBA YASEPA NA POINTI TATU KIMATAIFA
HATIMAYE kikosi cha Simba kimeibuka na ushindi kwenye mchezo wake wa kwanza hatua ya makundi ikiwa ugenini. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa St Mary’s umesoma Vipers 0-1 Simba na kuwafanya wasepena pointi tatu mazima. Mtupiaji wa bao la ushindi ni Henock Inonga ambaye aliwapa furaha wachezaji wenzaki ikiwa ni pamoja na Kibu…