10BET YAGAWA ZAWADI KWA WASHINDI PROMOSHENI KOMBE LA DUNIA

KAMPUNI ya michezo ya kubahatisha ya 10bet imetangaza kuwazawadia washindi mbalimbali 50 wa promosheni ya kombe la dunia (WC Bonanza Promotion). Michuano ya kombe la dunia ilifanyika nchini Qatar na timu ya Argentina chini ya nahodha wao, Lionel Messi ilitwaa ubingwa. Meneja Masoko wa kampuni10bet Tanzania George Abdulrahman amesema kuwa kati ya washindi hao 50,…

Read More

AZAM FC YAKATA TAMAA ISHU YA UBINGWA

KAIMU Kocha Mkuu wa Azam FC, Kali Ongala amesema kuwa kushindwa kupata matokeo chanya kwenye mechi tatu kunawaondoa kwenye mbio za ubingwa. Matajiri hao wa Dar mzunguko wa pili umekuwa ni mgumu kwao kupata matokeo ambapo walianza kupata sare ya kufungana mabao 2-2 dhidi ya Kagera Sugar na sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya…

Read More

MILIONI 30 MEZANI MNYAMA ATUNGULIWE KWA MKAPA

KLABU ya Tanzania Prisons imewekewa kitita cha Tsh Milioni 30 na wadhamini wao Kampuni ya Silent Ocean endapo itaifunga Simba. Prisons inatarajiwa kumenyana na Simba leo Desemba 30,2022 Uwanja wa Mkapa ikiwa ni mchezo wa funga mwaka. Ikitokea wakashindwa kusepa na ushindi na kuambulia pointi moja watasepa na Milioni 10 kibindoni. Ikumbukwe kwamba hata mchezo…

Read More

PUMZIKA KWA AMANI LEGEND PELE

GWIJI wa soka wa Brazil Pele, mmoja wa wachezaji bora zaidi wa wakati wote, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 82. Mshambulizi huyo wa zamani, ambaye ndiye mchezaji pekee katika historia kushinda vikombe vitatu vya Kombe la Dunia, aliaga dunia katika hospitali ya Albert Einstein mjini Sao Paulo kufuatia kuugua saratani. Pele, ambaye ni…

Read More

LIGI IMECHANGANYA, MECHI KALI ZA FUNGA MWAKA 2022 ZENYE ODDS KUBWA NA MACHAGUO KIBAO MERIDIANBET

Ligi nyingi zimerejea na mzuka wa kutosha mtu wangu, ni EPL, La Liga na Ligue 1 huku zikisindikizwa na michezo mingi ya kirafiki yenye kuvutia na kusindikiza furaha yako, Meridianbet wameliona hilo na kutoa odds kubwa na bombaa, bila kusahau machaguo mengi ya kufungia mwaka 2022 na kufungua mwaka 2023. Unafungaje mwaka 2022 na Meridianbet?…

Read More

SIMBA WANAHITAJI USHINDI KWENYE MECHI ZAO

JOHN Bocco nahodha wa Simba ameweka wazi kuwa malengo makubwa ya timu hiyo ni kupata matokeo kwenye mechi zote wanazocheza. Mchezo ujao wa Simba ni dhidi ya Tanzania Prisons unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Mchezo wa mzunguko wa kwanza ubao wa Uwanja wa Sokoine Mbeya ulisoma Tanzania Prisons 0-1 Simba ambapo bao la ushindi lilifungwa…

Read More

MIDO AS VITA AFUNGUKA KUTUA YANGA

KIUNGO wa kimataifa wa Togo anayekipiga katika Klabu ya AS Vita, Marouf Tshekai ni kama amekubali kujiunga na klabu ya Yanga mara baada ya kuweka wazi kuwa yupo tayari kujiunga na timu hiyo kwa masharti. Marouf ambaye amekuwa kiungo bora wa Ligi Kuu ya DR Congo kwa misimu miwili mfululizo ni moja kati ya wachezaji…

Read More

KAKOLANYA ATAJWA AZAM FC

IMEFAHAMIKA kuwa, Azam FC, imeanza mazungumzo ya kimyakimya kwa ajili ya kuipata saini ya kipa namba mbili wa Simba, Beno Kakolanya. Kakolanya hivi sasa amekuwa hana nafasi kubwa ya kucheza katika kikosi cha kwanza cha Simba, huku mkataba wake ukitajwa kumalizika mwisho wa msimu huu. Taarifa ambazo imezipata Spoti Xtra, zinasema kwamba, yapo mazungumzo ya…

Read More

WAARABU WAMFUATA AZIZ KI YANGA SC

IMEFAHAMIKA kuwa matajiri wa Klabu ya RS Berkane ya nchini Morocco wamefunga safari na kuja nchini kwa ajili ya kuanza mazungumzo ya kumpata kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mburkinabe, Stephane Aziz Ki. Hiyo ni mara ya pili kwa Berkane kumfuata kiungo huyo kwa ajili ya mazungumzo ya kuinasa saini yake tangu akiwa katika klabu yake ya…

Read More

KARIBU KWENYE FAMILIA YA KIBINGWA YA MERIDIANBET UFURAHIE SLOTI YA BURSTING HOT 5

Sloti ya Bursting Hot 5 Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet imekusogezea sloti ya kijanja ya Bursting Hot 5 kiganjani mwako sasa! Bursting Hot 5 ni mchezo unaotumia matunda kama zile sloti za kizamani ila imeboreshwa zaidi! Sifa mpya zilizoongezwa zinakuhakikishia ushindi mkubwa zaidi. Namna ya Kucheza Mchezo wa Bursting Hot 5 Ukiingia kwenye sehemu ya…

Read More

KIPA SIMBA SC AINGIA ANGA ZA AZAM FC

INAELEZWA kuwa Klabu ya Azam FC ipo kwenye hesabu za kuinasa saini ya kipa namba mbili wa Simba, Beno Kakolanya. Mkataba wa kipa huyo ambaye aliongeza hivi karibuni miaka miwili unatarajiwa kugota ukingoni hivi karibuni. Taarifa inaeleza kuwa Beno ameahidiwa mshahara mkubwa zaidi ya anaolipwa ndani ya Klabu ya Simba pamoja na uhakika wa kuanza…

Read More

MZEE WA MAKOROKOCHO AJIBU KUIBUKIA SINGIDA BIG STARS

MZEE wa makorokocho Ibrahi Ajibu anatajwa kumalizana na mabosi wa Singida United. Nyota huyo atajiunga na timu hiyo akitokea ndani ya Azam FC ambao walitoa shukrani kwake kwa huduma yake baada ya mkataba wake kugota ukingoni. Mkataba wa Ajibu aliosaini ndani ya Azam FC akitokea Simba ulikuwa na kipengele cha kuogeza mwaka mmoja ikiwa ataonyesha…

Read More

YANGA HAWANA BAHATI NA SOPU ANAWATUNGUA TU

ABDUL Suleiman, ‘Sopu’ nyota wa Azam FC nyota yake huwa inawaka anapopata nafasi ya kucheza dhidi ya Yanga. Nyota huyo amefanikiwa kuifunga Yanga mabao matano huku yote akimtungua kipa mmoja Diarra Djigui. Sopu alianza kufanya hivyo kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho ambao ulikuwa ni wa fainali akiwa ni mchezaji wa kwanza kufunga hat trick…

Read More