>

MASHINE MPYA YANGA YAIPIGIA HESABU SIMBA

IKIWA ni mara ya kwanza amecheza mechi akiwa na Yanga kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Mbuni, beki Mzanzibar, Ibrahim Bacca, amesema kuwa amekuja Yanga ili kuweza kutimiza majukumu ya kusaka ubingwa. Kwa sasa ubingwa wa ligi upo mikononi mwa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco. Bacca amesema kuwa ni fahari kwake kucheza ndani…

Read More

UWANJA WA MANUNGU CHANGAMOTO KWA SIMBA

PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa Uwanja wa Manungu si rafiki kwa wachezaji wake kucheza lakini wapo tayari kusaka pointi tatu. Uwanja wa Manungu uliopo Morogoro una uwezo wa kuchukua mashabiki 25,000 na umepitishwa kuweza kutumika katika mchezo huo unaotarajiwa kuchezwa saa 10:00 jioni. Pablo amesema:”Mchezo wetu dhidi ya Mtibwa Sugar ni muhimu…

Read More

BEKI WA KAZI KIMENYA KUIKOSA AZAM FC

TANZANIA Prisons ikiwa imecheza jumla ya mechi 12 ndani ya Ligi Kuu Bara na kukusanya pointi 11 leo ina kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Azam FC. Azam FC ipo nafasi ya 5 imecheza mechi 12 na kibindoni ina pointi 18. Beki wa kazi chafu mwenye uwezo wa kupanda na kushuka, Salum Kimenya ataukosa…

Read More

POLISI TANZANIA V YANGA KUPIGWA SHEIKH AMRI ABEID

MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya Polisi Tanzania dhidi ya Yanga unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Awali mchezo huo ulitarajiwa kuchezwa Uwanja wa Ushirika, Moshi kutokana na uwanja huo kuwa na matumizi mengine sasa mchezo utachezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha. Haji Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa kwa namna…

Read More

LIGI KUU TANZANIA BARA LEO RATIBA

JANUARI 22, Ligi Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea na kutakuwa na kazi kubwa katika viwanja vitatu tofauti kwa timu kusaka pointi tatu. Ni Mtibwa Sugar inayonolewa na Kocha Mkuu, Salum Mayanga itakuwa na kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu Pablo Franco. Ngoma ya Mtibwa Sugar v Simba itapigwa Uwanja…

Read More

PABLO AZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA MTIBWA

KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco amesema kuwa kwa namna yoyote ile wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho dhidi ya Mtibwa Sugar unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Manungu. Mtibwa Sugar wameamua mchezo huo uchezwe katika Uwanja wa Manungu wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 25,000 na tayari tiketi zimeanza kuuzwa na kiingilio ni 10,000. Kwenye…

Read More

MWAKINYO AVULIWA UBINGWA

HABARI mbaya kwa Watanzania na mashabiki wa ngumi ni kwamba Shirikisho la ngumi za kulipwa duniani limewavua mikanda ya ubingwa wa WBF Intercontinental mabondia wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mwakinyo ‘Champez’ na Ibrahim Class kutokana na kutotetea mikanda hiyo kwa muda mrefu tofauti na sheria zake.  Rais wa Shirikisho hilo, Howard Goldberg kutoka Afrika…

Read More

TATIZO LA BOCCO LIMEPATA DAWA

IWAFIKIE mashabiki wa Simba kwamba tatizo la nahodha wa Simba kuwa kwenye kipindi kigumu cha kushindwa kufunga wala kutoa pasi ya bao kwenye ligi kwa msimu wa 2021/22 limepata dawa baada ya mshikaji wake Clatous Chama kurejea. Chama alikuwa na maelewano mazuri na Bocco kabla ya kusepa msimu wa 2021/22 ambapo kwenye pasi mbili ambazo…

Read More

ABOUBAKAR AINGIA LEVO ZA ETO’O

NYOTA wa timu ya taifa ya Cameroon,Vincent Aboubakar kwenye mashindano ya Afcon 2021 nchini Cameroon yeye anakiwasha tu kwa kucheka na nyavu. Mpaka sasa yeye ni namba moja kwa utupiaji ambapo amefunga jumla ya mabao matano kibindoni. Timu ya Cameroon ambao ni wenyeji wa mashindano hayo wamekuwa kwenye mwendo mzuri ambapo tayari wametinga hatua ya…

Read More

BEKI KISIKI AONGEZA MKATABA YANGA

YANGA wamemuongezea dili la mwaka mmoja kiraka wake Mkongomani, Yannick Bangala na kufikisha miaka miwili ya kuendelea kukipiga hapo. Hiyo ikiwa ni siku chache tangu tetesi zienee za kiungo mkabaji wa timu hiyo, Mkongomani Mukoko Tonombe kugomea kuuzwa TP Mazembe ya nchini DR Congo. Bangala alijiunga na Yanga katika msimu huu akitokea FAR Rabat ya nchini Morocco baada ya kuvunja mkataba wa kuendelea kukipiga huko kabla ya kutua Jangwani. Mmoja…

Read More

MTIBWA YAWAITA SIMBA MANUNGU

THOBIAS Kifaru, Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar amesema kuwa Simba wasiwe na mashaka kwa kuwa wanachokitaka wao ni mchezo huo uchezwe Uwanja wa Manungu. Kesho,Januari 22 unatarajiwa kuchezwa mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Mtibwa Sugar v Simba katika Uwanja wa Manungu. Habari zinaeleza kuwa Simba wamewaeleza bodi kuwa wao wana mashabiki wengi jambo…

Read More