
VIDEO: SHABIKI WA SIMBA AMFUNGUKIA PHIRI/MZUNGU
SHABIKI wa Simba amebainisha kuhusu uwezo wa Moses Phiri huku akimgusia mzungu Dejan
SHABIKI wa Simba amebainisha kuhusu uwezo wa Moses Phiri huku akimgusia mzungu Dejan
PRIVA ambaye kwa sasa yupo ndani ya kikosi cha Yanga amefanya uchambuzi wake kwa mara ya kwanza namna hii
ANGA la kimataifa ndani ya dakika 180 litakutana na pumzi ya moto kutoka kwa vijana wa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda baada ya kuweka wazi kuwa vijana wake wapo tayari. Simba inatarajiwa kumenyana na de de Agosto na wataanzia ugenini Oktoba 9 nchini Angola kwenye mchezo huo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Mgunda…
VIUNGO wa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ikiwa ni pamoja na Tuisila Kisinda, Bernard Morrison, Jesus Moloko ni miongoni mwa nyota wanaondaliwa kwa ajili ya kuikabili Al Hilal ya Sudan. Mbali na hao pia nyota wa kazi chafu Yannnick Bangala ambaye ni kiraka naye yupo kwenye mpango kazi wa mchezo ujao unaotarajiwa kuchezwa…
TIMU ya Taifa ya Watu wenye ulemavu Tanzania (Tembo Warriors,) imefuzu kuingia katika hatua 16 bora katika mashindano ya kombe la dunia la mpira wa miguu kwa watu wenye ulemavu. Tanzania ilipata ushindi wake wa kwanza wakiifunga Uzbekistan mabao 2-0 huko Uturuki yanapoanyika mashindano hayo. Tembo Warriors sasa watakutana na Japan katika mchezo unaotarajiwa kuchezwa…
YANGA yamteka bosi wa Al Hilal Bongo, Simba kuwafuata Waangola kitemi, ndani ya Championi Jumatano
KOCHA mpya wa Simba Queens, Charles Ayiekoh Mbuzi ameweka wazi sababu ya kujiunga na timu hiyo. Kocha huyo ameeleza jinsi viongozi wa Simba walivyoanza mchakato wa yeye kujiunga na Simba Queens hadi akamwaga wino. “Mara baada ya mchezo wa fainali dhidi ya Simba Queens, uongozi wa Simba ulipendezwa na uwezo wangu ambapo meneja Selemani Makanya…
IKIWA Uwanja wa Highland Estate, leo Oktoba 4,2022 Klabu ya Ihefu imekusanya pointi moja kwa mara ya kwanza msimu wa 2022/23. Ikumbukwe kwamba Ihefu inayonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mwambusi kwenye mechi nne mfululizo ilipoteza mechi zake na mchezo wake wa mwisho kabla ya leo ilifungwa mabao 2-1 KMC. Sare ya kufungana bao 1-1 dhidi…
WAAMUZI ni sehemu muhimu kwenye mchezo hasa kutokana na kusimamia sheria 17 za mpira ambao unafuatiliwa na watu wengi duniani. Ipo wazi kuwa Ligi Kuu Tanzania Bara imekuwa kwenye ushindani mkubwa na kila siku hatua moja inapigwa kuyafuata matokeo. Kwa waamuzi wale ambao wamekuwa wakishindwa kutafsiri sheria za mpira ni muhimu kujifunza kupitia makossa ili…
SHABIKI wa Simba amebainisha kuwa kikosi cha Simba ambacho kinanolewa na Kocha Mkuu Juma Mgunda kimekuwa na mwendo mzuri jambo ambalo linamfanya azidi kukizoea kikosi hicho licha ya kutokuwa anakijua vema na kubainisha kuwa Mgunda ni kocha mzuri apewe muda
MASTA Mkwasa amebainisha kuwa wamekubali wameshindwa na wamefungwa na Yanga kwenye mchezo wao uliochezwa Uwanja wa Mkapa
OKTOBA 4, Ligi Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea ambapo mechi mbili zinatarajiwa kuchezwa. Polisi Tanzania ina pointi mbili wao watamenyana na Geita Gold wenye pointi tatu, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Ihefu wao hawana pointi wao watamenyana na Geita Gold yenye pointi tatu, Uwanja wa Highland Estate.
JUMA Mwambusi, Kocha Mkuu wa Ihefu amesema kuwa makosa ambayo wameyafanya kwenye mechi zao zilizopita watafanyia kazi ili kupata matokeo mazuri. Ihefu haijaanza kwa kufanya vizuri kwenye mechi za mwanzo ndani ya msimu wa 2022/23. Ikiwa imecheza mechi 4 haijakusanya pointi zaidi ya kuishia kupoteza mechi zote nne ikiwa nafasi ya 16 kwenye msimamo wa…
MABAO 6 yalikusanywa kwenye mechi tatu za Ligi Kuu Bara zilizochezwa Oktoba 4,2022 katika msimu wa 2022/23. Mchezo uliokusanya mabao mengi ulikuwa ni ule Ruvu Shooting 1-2 Yanga ikiwa ni mabao matatu kwenye mchezo mmoja. Watupiaji kwenye mchezo huo ni Feisal Salim dakika ya 52 na Bakari Mwamnyeto dakika ya 71 lile la Ruvu Shooting…
CLATOUS Chama kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji, pasi zake asilimia 88 alitumia kutoa kwa mguu wa kulia. Jumla nyota huyo alitoa pasi 87, alitumia mguu wa kushoto kutoa pasi 7 na ule wa kulia alitumia kutoa pasi 87. Mguu wake wa kulia una shida kubwa katika matumizi akiwa uwanjani kwa…
KITASA wa kazi ndani ya Geita Gold, Kelvin Yondani anatarajiwa kuukosa mchezo wa leo wa Ligi Kuu Bara dhidi Polisi Tanzania. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa leo Oktoba 4,2022, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Sababu kubwa ya kuukosa mchezo wa leo ni matatizo ya kifamilia ambayo anakabiliwa nayo. Mbali na Yondani pia staa mwingine Ibrahim Seleman…
MGUNDA kicheko Simba, Yanga SC yategua mitego ya Al Hilal ndani ya Spoti Xtra Jumanne.