
YANGA WATAMBA WANAPIGA POPOTE
HUKU wengi wakiamini Yanga SC kuanzia nyumbani katika mchezo wa hatua ya kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Hilal itawazuia kufuzu hatua ya makundi, kocha msaidizi wa timu hiyo, Cedric Kaze ameibuka na kushusha presha kwa kusema kikosi chao kinaweza kupata ushindi popote. Yanga ambao ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, wamefuzu…