
KUNA WINGA YANGA ALITISHIWA KUROGWA
MJUE winga ambaye alitishiwa kurogwa ndani ya Yanga kisa Simba, yote haya ni ndani ya Championi Jumamosi.
MJUE winga ambaye alitishiwa kurogwa ndani ya Yanga kisa Simba, yote haya ni ndani ya Championi Jumamosi.
IMEELEZWA kuwa kiungo namba moja kwa kutengeneza pasi za mwisho ndani ya Simba msimu wa 2021/22 Rally Bwalya yupo kwenye hesabu za timu moja ya Afrika Kusini. Inatajwa kwamba ni Klabu ya Amazulu ya Afrika Kusini inahitaji saini ya raia huyo wa Zambia kwa ajili ya msimu ujao. Ikumbukwe kwamba kiungo huyo aliibuka ndani ya…
LeBron James– Nyota mara 18 wa mpira wa vikapu nchini Marekani NBA na bingwa mara 4 wa NBA, mbali na kuwa mshindi wa medali ya dhahabu mara 2 kwenye Olimpiki – amepiga hatua nyingine muhimu, wakati huu akifanya kitu ambacho hakuna mchezaji mwingine wa NBA amewahi kufanya. Baada ya mwaka mwingine mbaya wa mapato– ya…
GWIJI wa Liverpool, Dietmar Hamann amemshukia kiungo Thiago Alcantra akiweka wazi kuwa ni moja ya wachezaji wa Ulaya wanaopewa sifa kubwa tofauti na uwezo wake. Mjerumani huyo amesema Thiago ni bure kabisa timu napokuwa haina mpira licha ya kwamba amesifiwa alikuwa ni mchezaji muhimu kwenye kikosi cha Jurgen Klopp. Nyota huyo ni miongoni mwa wale…
VIONGOZI wa Yanga SC leo Juni 03, wamezungumza na wanahabari kuhusiana na uchaguzi wao mkuu wa viongozi utakaofanyika hivi karibuni.
MARA baada ya Simba SC kutangaza kuachana na kocha, Pablo Franco Martin, tayari baadhi ya makocha wameanza kuomba nafasi ya kufanya kazi ndani ya timu hiyo. Taarifa ambazo Spoti Xtra limezipata ni kwamba, kocha wa kwanza kutuma wasifu wake akiomba mikoba ya Pablo kikosini hapo ni Brandon Truter raia wa Afrika Kusini. Juzi Jumanne, Simba…
HOROYA AC ya Guinea, imeweka ofa nzuri kumpata aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba, Pablo Franco raia wa Hispania ambaye alisitishiwa mkataba wake hivi karibuni. Mara baada ya Simba kutangaza kumsitishia mkataba kocha huyo, tetesi nyingi zilizagaa za kuhitajika na baadhi ya klabu kubwa Afrika ikiwemo Amazulu FC ya Afrika Kusini. Wakala wa kocha huyo, Edgar…
KASI ya Coastal Union ndani ya Mei inafurahisha kwa kuwa kwenye mechi 5 ambazo wamecheza hawajapoteza mchezo wakishinda nne na kuambulia sare moja ugenini. Juma Mgunda, Kocha Mkuu wa Coastal Union amesema kuwa watu wasijisahaulishe wanapaswa kuiombea timu hiyo ili iendelee kufanya vizuri. “Tupo nafasi ya 6 wazidi kutuombea ili kwenye mechi zijazo tupate matokeo…
KUTOKANA na kuwa na malengo ya kuhitaji kumaliza ndani ya nne bora, mabosi wa Polisi Tanzania wanafikiria kuweka kambi Dar ili kuweza kufanya maandalizi kwa mechi zilizobaki. Ofisa Habari wa Polisi Tanzania, Hassan Juma amesema kuwa watapambana kuwashusha waliopo juu yao kwa kutoka chini hivyo watafanya kazi kubwa kwenye mechi zilizobaki. “Baada ya mchezo wetu…
MASTAA 14 ndani ya kikosi cha Yanga, wapo kwenye hesabu za kufyekwa kwa ajili ya kukiboresha kikosi hicho kuelekea msimu ujao wa 2022/23. Msemaji wa Yanga, Haji Manara, alisema kuwa usajili wa msimu ujao utakuwa ni mkubwa na wenye kuzingatia ripoti ya benchi la ufundi. “Tuna malengo makubwa na tunajua wapi ambapo tulishindwa msimu huu…
KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars jana jioni Alhamisi ya Juni 2 kilikwea pipa kuelekea nchini Benini kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo wa kuwania kufuzu Afcon 2023 dhidi ya Niger unaotarajiwa kuchezwa kesho Juni 4. Leo Juni 3 tayari kimewasili salama Benin ambapo mchezo huo utachezwa. Benchi la ufundi…
WATANI wa jadi Yanga na Simba kupitia Azam TV wamefungua kampeni ya NANI ZAIDI ambayo itakuwa inawahusisha mashababiki wa timu hizo mbili ambao watakuwa wanashindana kuchangia pesa kwenye timu zao. Watachangia pesa hizo kupitia mitandao ya simu ikiwa ni Tigo, Airtel na Vodacom kisha baadaye mshindi atachaguliwa na kutangazwa. Mtendaji Mkuu wa Simba,(CEO), Barbra Gonzalez…
Unapata furaha kiasi gani pale dakika moja tu inapotosha kubadilisha maisha kukufanya uwe tajiri kwa kuweka rehani pesa kidogo tu?Julius Joel, mkazi wa Dar es Salaam anakupa hadithi ya ushindi wake wa Milioni 20 kwa dau la buku tu. Meridianbet ni kampuni kongwe zaidi Tanzania kwenye huduma za michezo ya kubashiri kuanzia dukani, mpaka mtandaoni….
MASTAA 14 ndani ya kikosi cha Yanga, wapo kwenye hesabu za kufyekwa kwa ajili ya kukiboresha kikosi hicho kuelekea msimu ujao wa 2022/23. Msemaji wa Yanga, Haji Manara, aliliambia Spoti Xtra kuwa, usajili wa msimu ujao utakuwa ni mkubwa na wenye kuzingatia ripoti ya benchi la ufundi. “Tuna malengo makubwa na tunajua wapi ambapo…
BAADA tetesi nyingi kuzagaa za kiungo Mrundi, Saidi Ntibanzokiza ‘Saido’ kutua Simba, uongozi wa timu hiyo umeibuka na kutamka hauna mpango wa kumsajili. Hiyo ikiwa ni siku chache tangu Yanga itangaze kutomuongezea mkataba kiungo uliomalizika Juni 30, mwaka huu. Mmoja wa mabosi wa Simba, amesema kuwa, ngumu kwao kumsajili mchezaji ambaye ameachwa na timu yake…
UONGOZI wa Singida Big Stars imeweka wazi kuwa unatambua ubora wa beki wa Simba, Pascal Wawa ila haina mpango wa kumsajili kwa muda huu. Timu hiyo ambayo ilikuwa inaitwa DTB ilipokuwa inashiriki Championship inatajwa kuwa katika mazungumzo na Wawa ambaye mkataba wake unakaribia kuisha msimu utakapomeguka. Mtendaji Mkuu wa Singida Big Stars,Muhibu Kanu amesema kuwa…
OFISA Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire ameweka wazi kwamba wapo kwenye nafasi mbaya katika ligi jambo ambalo haliwaridhishi kuwa hapo walipo kwa sasa. Kwenye msimamo Ruvu Shooting ipo nafasi ya 13 ikiwa na pointi 28 baada ya kucheza mechi 26 msimu huu huku safu yake ya ushambuliaji ikiwa imefunga mabao 24. Bwire amesema kuwa…