TANZANIA YAPOTEZA MBELE YA ALGERIA
TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars inayonolewa na Kocha Mkuu,Kim Poulsen leo Juni 8,2022 imeambulia kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Timu ya Taifa ya Algeria katika mechi ya pili ya kufuzu kushiriki fainali za mataifa ya Afrika AFCON zinazotarajiwa kufanyika 2023 nchini Ivory Coast. Ndani ya dk 40 Stars iliweza kujilinda lakini makosa…