YANGA YAFUNGA MWAKA NA POINTI TATU ZA MANUNGU

 MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya Mtibwa Sugar na Yanga uligotea dakika 26 baada ya mabingwa hao watetezi wa ligi kuwatibulia mipango mapema wapinzani wao. Ni bao la Aziz KI dakika ya 26 la kipindi cha kwanza limedumu mpaka dakika 90 za mwamuzi kukamilisha mchezo huo. Pigo la faulo iliyoonekana kutokuwa na hatari ilimduwaza…

Read More

WATATU SIMBA WAPENYA KUWANIA ZAWADI YA MWAKA

NYOTA watatu wa kikosi cha Simba wamepenya kwenye hatua ya kuwania tuzo ya mchezaji bora. Ni tuzo ya kufungia mwaka 2022 ya Mchezaji Bora wa Mashabiki (Emirate Aluminium Profile Simba Fans Player of the Month). Atakayesepa na tuzo hiyo atakuwa amefungua zawadi ya kwanza kutoka kwa mashabiki kwa 2023 kutoka kwa mashabiki. Ni kiungo Clatous…

Read More

AZIZ KI AMTUNGUA KIMWERI

UBAO wa Uwanja wa Manungu unasoma Mtibwa Sugar 0-1 Yanga. Bao la Aziz KI dakika ya 26 linaipa uongozi timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Pigo la faulo iliyoonekana kutokuwa na hatari ilimduwaza kipa wa Mtibwa Sugar Razack Kimweri ambaye alikutana na mpira nyavuni. Ukuta wake wa wachezaji watatu ambao aliwapanga pamoja na…

Read More

WAKULIMA WAZABIBU WAFUNGA MWAKA KWA USHINDI

DODOMA Jiji waliibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar kwenye mchezo wa kufungia mwaka 2022. Ni mabao ya Mwaterema dakika ya 24 na Opare dakika ya 66 yalitosha kuzamisha jahazi la Kagera Sugar inayotumia Uwanja wa Kaitaba kwenye mechi za nyumbani. Ushindi huo unaifanya Dodoma Jiji kufikisha pointi 21 ikiwa nafasi ya…

Read More

BATO YA WATANI WA JADI KUPIGWA APRILI

BATO ya watani wa jadi ndani ya 2023 inatarajiwa kuwa ni Aprili 9 ndani ya Ligi Kuu Bara kwenye mzunguko wa pili wa 2022/23. Mtanage wa kwanza wababe hawa wenye ngome zao pale Kariakoo ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Simba 1-1 Yanga. Watupiaji wote walitupia mabao yao ndani ya kipindi cha kwanza ikiwa ni…

Read More

WATATU WATEMWA NDANI YA AZAM FC

KIKOSI cha Azam FC leo Desemba 31,2022 kitamenyana na beya City kikiwa kimeachana na nyota wake wawili jumlajumla. Ni kipa namba mbili Ahmed Salula ambaye msimu huu hajapata nafasi ya kuanza kikosi cha kwanza pamoja na nyota Chilunda. Wanafikisha idadi ya nyota watatu ambao wameachwa na Azam FC wakiungana na Ibrahim Ajibu ambaye anaibukia ndani…

Read More

YANGA KAMILI KUIVAA MTIBWA SUGAR

KUELEKEA mchezo wa kesho kati ya Mtibwa Sugar v Yanga benchi la ufundi la vinara wa ligi limeweka wazi kuwa lipo tayari. Yanga imekuwa na mwendo wake bora ndani ya ligi ikiwa imetoka kupata ushindi kwenye mchezo dhidi ya Azam FC wa mabao 3-2. Kesho Desemba 31 ina kazi ya kusaka pointi tatu dhidi ya…

Read More

SIMBA 1-1 PRISONS

UBAO wa Uwanja wa Mkapa dakika 45 zimekamilika ukisoma Simba 1-1 Tanzania Prisons. Uzembe wa kipa namba moja wa Simba, Air Manula kwenye kuokoa mpira wa hatari uliopigwa na Kimenya umeigharimu timu yake. Pongezi kwa mfungaji Jeremia Juma ambaye alikuwa kwenye eneo akiwa ametulia kama maji kwenye mtungi akamchagulia eneo la kumtungua Manula ambaye alikuwa…

Read More