
AJIBU AONDOLEWA KIKOSINI SIMBA NA MUGALU
NYOTA wawili wa kikosi cha Simba Ibrahim Ajibu na Chris Mgalu wameondolewa kwenye kikosi hicho kinachojiaandaa na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu Shooting. Leo Novemba 19, Pablo Franco anatarajia kukiongoza kikosi hicho kwenye mchezo dhidi ya Ruvu Shooting unaotarajiwa kuchezwa saa 10:00 jioni, Uwanja wa CCM Kirumba. Sababu za nyota hao kuondolewa…