POGBA MAJANGA MATUPU
KIUNGO wa kati wa Manchester United Paul Pogba hatoshiriki katika mechi ya michuano ya kufuzu kwa kombe la dunia baada ya kupata jeraha la nyonga. Mshindi huyo wa Kombe la Dunia, mwenye umri wa miaka 28 alipata jeraha wakati wa mazoezi Jumatatu , Shirikisho la soka nchini Ufaransa FFF limesema. Pogba hatoshiriki katika mechi ya Jumamosi dhidi…