
YANGA YASHINDA TUZO YA TIMU BORA YA KIUME, WASHINDI WAPO HAPA WA TUZO ZA BMT 2023
Klabu ya Yanga imefanikiwa usiku wa kuamkia leo Juni 10, 2024 kushinda tuzo ya Timu bora ya Kiume ya Mwaka 2023 kwa ngazi ya vilabu kwenye tuzo zinazotolewa na Baraza la Michezo Tanzania (BMT) katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki jijini Dar es Salaam. Ndani ya mwaka huo Yanga ilitwaa Ubingwa Ligi kuu, Ubingwa…