Ukiwa na buku tu Meridianbet kasino ya mtandaoni inakuongezea mara dufu Zaidi, kupitia sloti ya Mini Power Roulette inakuhakikishia ushindi wa dau lako mara 20, 50 hadi 100 cha kufanya ingia hapa kufukuzia ubingwa wako.
Ukiachilia mbali bonasi, ofa, odds kubwa na promosheni kedekede, kasino ya mtandaoni inakuletea mchezo wa Mini Power Roulette uliotengenezwa na Expanse Studios. Roulette hii ina mifumo maalum ya kukupatia faida kubwa mpaka 96.15%
Mchezo wa Mini Power Roulette unakujia na gurudumu la roulette lenye namba 13 tu ikiambatana na sloti ya namba zinazokupatia ushindi mkubwa, timiza malengo yako kupitia kasino ya mtandaoni.
Jinsi ya Kutengeneza Ushindi Kwenye Mini Power Roulette
Ni rahisi sana kucheza Mini Power Roulette-kasino ya mtandaoni ya Meridianbet ina jumla ya namba 13, yaani 0 hadi 12. ambapo rangi ya kijani ni 0, na zile zenye namba nyekundu ni 1,3,5,8,10 na 12 wakati nyeusi ni 2,4,6,9, na 11.
Kwenye Roulette hii unachotakiwa kufanya ni kubashiri kete itaangukia wapi na utapewa muda wa kuchagua namba hizo na malipo yatabadilika kutokana na chaguo lako. utakapoweka ubashiri.
Baada ya kuchagua kete itaangukia wapi utabofya kitufe chenye neno spin ili kuanzisha safari ya kusaka mtonyo, hakikisha tu unakuwa makini kusoma historia ya mchezo ili kujua uelekeo sahihi wa kete za Roulette ukoje.
Habari njema ni kwamba Kupitia mchezo huu wa Mini Power Roulette, una nafasi ya kurudishiwa pesa mara 20, 50 mpaka 100 ya dau kwenye Kasino ya Mtandoni ya Meridianbet.
NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko 50 ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili na Bashiri michezo kwa Odds kubwa.