WAZIRI MCHENGERWA: HONGERA INJINIA HERSI KWA KUFANYA YANGA KUWA YA KISASA
“Nawashukuru sana Young Africans SC kwa kunialika kwenye mkutano wenu huu mkuu. Ni heshima kujumuika nanyi ikiwa nyie ni Klabu yenye mafanikio makubwa sana. Nafikisha salamu za Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye amekuwa chachu kwenye maendeleo ya soka nchi hii” Mgeni Maalum Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za…