CLATOUS Chama kiungo mshambuliaji wa Simba mvutano wao mkubwa na viogozi wa timu hiyo kwenye upande wa kusaini dili jipya ni mkwanja anaohitaji kuvuta kwa mwezi jambo ambalo limefanya mpaka anakwea pipa kuelekeza Zambia awe bado hajasaini dili jipya.
Soccer Football - International Friendly - Spain v Brazil - Santiago Bernabeu, Madrid, Spain - March 26, 2024 Spain's Rodri scores their third goal from the penalty spot REUTERS/Violeta Santos Moura