BAJETI YA YANGA MSIMU UJAO NI BILIONI 24.5

Mapato ya Yanga Msimu 2023/2024
Udhamini na haki za matangazao bilioni 10.19
Mapato mlangoni bilioni 1
Ada za Wanachama milioni 613
Zawadi za ushindi bilioni 3.9
Mapato mengine bilioni 5

Jumla ya mapato ni Bilioni 21

Bajeti ya Msimu ujao ni Bilioni 24.5 ambapo imeongezeka asilimia kumi tofauti na Msimu uliopita ambayo ni Bilioni 22.