Kibwana Shomari bado hajafanikiwa kupewa mkataba mpya na Yanga licha ya mkataba wake kumalizika.
Mazungumzo ya mkataba mpya hayajawa kwa kiwango kikubwa kama ambavyo yapo kwa mastaa wengine kama Azizi Ki
Kibwana Shomari malengo yake ni kusalia Yanga na kupata nafasi ya kucheza katika kikosi cha Kwanzaa.
Lakini yupo tayari kuondoka endapo kuna timu itafikia mahitaji ambayo yeye anayahitaji