GUADIOLA:TUMESHINDA LAKINI WATU WANAIPENDA LIVERPOOL

PEP Guardiola, Kocha Mkuu wa Manchester City amesema kuwa amepata pointi tatu lakini anaamini kwamba watu wengi hawapendi. Manchester City iliwatungua mabao 5-0 Newcastel United kwenye mchezo wa Ligi Kuu Engand uliochezwa Uwanja wa City Of Manchester. Raheem Sterling alifunga mabao mawili ilikuwa dk 19,90+3,Aymeric Laporte alitupia dk ya 38,Rodri dk 61 na Phil Foden…

Read More

GUSA ACHIA YA YANGA BALAA ZITO, MZIZE KWENYE RAMANI

GUSA achia twende kwao ya Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Sead Ramovic ina balaa zito baada ya pointi tatu kubaki Uwanja wa Mkapa huku mshambuliaji Clement Mzize akifunga moja ya bao kali ambalo limeandika rekodi yake kwa msimu wa 2024/25. Kwenye mchezo huo uliochezwa Januari 4 2025 Yanga walianza kufungwa ila wakaweka usawa kupitia kwa…

Read More

KISASI NA MAPIGO HURU UWANJA WA MKAPA

KARIBU kwenye mapigo ya ligi ambayo yanaendelea ikiwa ni mwaka 2023, Uwanja wa Mkapa utakuwa na kazi ndani ya dakika 90 kwa wababe kusaka pointi tatu. Ni Yanga dhidi ya Ihefu mchezo unaosubiriwa kwa shauku kubwa kutokana na Ihefu kuwa watibuaji wa mipango ya Yanga. Hapa tunakuletea baadhi ya mambo yatakayonogesha mchezo huo namna hii:-…

Read More

Polisi Tanzania 2-0 Mbeya City

MCHEZO wa NBC Premier League kwa wababe wawili umekamilika baada ya dakika 90 huku pointi tatu zote zikibaki nyumbani. Ubao wa Uwanja wa Sheikh Amri umesoma Polisi Tanzania 2-0 Mbeya City. Mabao yote mawili yamefungwa na mshambuliaji wa mabao Anuary Jabir dakika ya 38 na 45+2 kwa mkwaju wa penati. Ushindi huu unaifanya Polisi Tanzania…

Read More

ISHU YA CHAMA KURUDI BONGO,YANGA,SIMBA ZATAJWA

KIUNGO bora wa zamani wa Simba, Clatous Chama anatajwa kurudi tena Bongo huku timu mbili za Kariakoo, Simba na Yanga zikitajwa kuwania saini yake. Chama msimu wa 2020/21 alikuwa kwenye kikosi bora cha msimu na pia alitwaa tuzo ya kiungo bora ikumbukwe pia kwa msimu wa 2019/20 alitwaa tuzo ya kiungo bora pamoja na mchezaji…

Read More

MAJOGOO WASEPA NA KOMBE MUUAJI ACHEKELEA VIJANA

KLABU ya Liverpool imetwaa ubingwa na  wa Carabao kwenye mchezo wa fainali dhidi ya Chelsea  Uwanja wa Wembley. Katika dakika 90 za mwanzo ngoma ilikuwa ngumu wakati Liverpool ikicheza bila ya uwepo wa mshambuliaji wao nyota Mohamed Salah ambaye bado hajawa fiti. Beki wa kazi ngumu Virgil van Dijk alifunga bao pekee la ushindi kwenye…

Read More

HUYU HAPA KUULIZWA IKIWA SIMBA SC ITABUMA MSIMU MPYA

KUELEKEA msimu mpya wa 2025/26 ni Fadlu Davids, Kocha Mkuu wa Simba SC ameachiwa msala kwenye suala la usajili baada ya kupewa jukumu hilo kuhakikisha kwamba kila kitu anasimamia mwenyewe. Simba SC imeweka kambi Misri kwa maandalizi ya msimu mpya unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa huku wakifanya usajili wa wachezaji wapya ikiwa ni Jonathan Sowah…

Read More

MERIDIANBET WATOA MSAADA MAKONGO DAR

Magwiji wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet imetembelea eneo la Makongo tawi la Mlalakua kwajili ya kutoa msaada wa vifaa vya usafi ambavyo vitasaidia kuimarisha usafi eneo hilo. Meridianbet mara kwa mara wamekua wakihakikisha wanarudisha fadhila kwenye jamii yao ambayo imewazunguka, Leo imekua ni zamu ya eneo la Makongo jijini Dar-es-salaam ambao ndio wamekua…

Read More