KIMATAIFA INAWEZEKANA KAZI KUBWA IFANYIKE

HAKIKA kwa sasa mambo yamezidi kupamba moto kwenye anga za kimataifa ambapo leo Simba wana kazi yakufanya kwenye anga za kimataifa Simba ambao ni wawakilishi wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika kazi yao ni kwenye mchezo wa makundi ikiwa ni dhidi ya HoroyaAC hautakuwa mchezo mwepesi wala mgumu muhimu maandalizi mazuri. Kwa wachezaji kazi…

Read More

JKT TANZANIA V YANGA KUPANGIWA TAREHE

MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya JKT Tanzania dhidi ya Yanga uliotarajiwa kuchezwa Aprili 23 2024 Uwanja wa Meja Isamuhyo umeahirisha. Huu ni mchezo wa mzunguko wa pili ambao ulitarajiwa kuchezwa kwa dakika 90 kusaka mshindi ambaye angekomba pointi tatu. Timu zote mbili zilikuwa zimewasili uwanjani kwa ajili ya mchezo huo wa ligi uliokuwa…

Read More

PABLO FRANCO AIBUKA KWA MTINDO HUU SIMBA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa ripoti ya usajili amayo inatumika kwa sasa ni ileiliyoachwa na aliyekuwa kocha wa timu hiyo Pablo Franco raia wa Hispania. Pablo alikuwa ndani ya Simba msimu wa 2021/22 alipobeba mikoba ya Didier Gomes alichimbishwa hapo baada ya kushindwa kutimiza makubaliano yalikuwa kwenye mkataba na mchezo wake wa mwisho ilikuwa ni Mei 28. Katika…

Read More

YANGA:HATUKUKURUPUKA KUFANYA USAJILI

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba usajili walioufanya ni wa viwango vikubwa jambo linalowapa matumaini yakufanya vizuri kwenye mashindano ambayo watacheza kwa kuwa hawakukurupuka. Miongoni mwa wachezaji ambao wamesajiliwa na Yanga ni pamoja na Chico Ushindi, Dennis Nkane,Salim Aboubakhari na Crispin Ngushi. Wachezaji hao wameanza kucheza mechi za ushindani isipokuwa kwa sasa Nkane bado yupo…

Read More

TAMBO MUHIMU LAKINI VITENDO VINAHITAJIKA ZAIDI

TAMBO kwa sasa kwa  zinazidi kutawala ambapo kila mmoja anaamini kwamba amefanya usajili mzuri na anaweza kuchukua kila kitu ambacho anakihitaji. Ipo hivyo na ni maisha ya mpira hakuna anayeweza kuzuia maneno ambayo yanatokea lakini ukweli unabaki ukweli kwamba mpira unahitaji vitendo zaidi. Yale maneno ambayo yamekuwa yakitolewa na mashabiki pamoja na viongozi yana muda…

Read More

SIMBA YAWATULIZA COASTAL UNION MKWAKWANI

 MCHEZO wa pili mfululizo kikosi cha Simba kinafanikiwa kushinda kwenye mechi za ligi baada ya leo Desemba 3,2022 kushinda mbele ya Coastal Union. Ubao wa Uwanja wa Mkwakwani, umesoma Coastal Union 0-3 Simba na wakasepa na pointi tatu mazima. Mabao ya Moses Phiri dakika ya 53 na dakika ya 60 kwa mkwaju wa penalti yalifungwa…

Read More

MASTAA YANGA WAPIGWA MKWARA NA MTUNISSIA

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kwamba hakuna mchezaji mkubwa ndani ya kikosi cha Yanga kwa kuwa Yanga ni kubwa kuliko yoyote. Kocha huyo raia wa Tunissia ameongeza kuwa kuhusu kuanza kikosi cha kwanza kwa wachezaji wake itategemea na namna hali itakavyokuwa kutokana na mchezo husika na haina maana kwamba kufunga mabao ni…

Read More

FEI TOTO:NAPENDA KUONA TIMU INASHINDA

FEISAL Salum, kiungo wa Yanga amebainisha kuwa jambo ambalo analipenda akiwa uwanjani ni kuona timu yake inashinda. Fei ni namba moja kwa utupiaji ndani ya kikosi cha Yanga akiwa ametupia mabao matatu na pasi moja kati ya tisa ambayo yamefungwa na timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Katika mechi tano ametumia jumla ya…

Read More

MSIMAMO WA LIGI KUU BARA HUU HAPA

LIGI Kuu Tanzania Bara maarufu kama NBC Premier Ligi inazidi kuchanja mbunga ambapo tayari kuna timu zimeanza kuonja ladha ya kuwa nafasi ya kwanza pamoja na ile ladha ya kuwa nafasi ya mwisho ndani ya msimu wa 2021/22 ambao unakwenda kwa kasi.   Huu hapa msimamo wa Ligi Kuu Bara, Yanga wakiwa ni namba moja…

Read More